Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tutachagua tofauti mpaka mchumba- hata kama KIGEZO ni chupi yake!

>> Tuesday, August 16, 2011

BINADAMU ,...
... tu tofauti!

Swali:
  • SI umestukia labda BINADAMU wawili ina maana labda kuna mawili hata katika swala la KIPENDA ROHO?

Ndio,...
..... kigezo hata cha NINI ni ile KITU roho inapenda,...
.....usishangae kama wewe sio mpenda sura zenye chunusi,...
... kwa kuwa kwa mwingine MABAKA ya chunusi ni urembo.


Swali:
  • SI unajua kuna mpaka waipendao Dar-es-Salaam kwa kuwa ina joto wakati kuna walalamikiao DAR kwa joto?

Ndio,...
.... BINADAMU tu TOFAUTI,...
..... na labda tushukuru kwa hilo kwa kuwa kama wote tungefanana labda CHIPSI mayai zisingetosha hapa DUNIANI!:-(

NI wazo tu hili NGULI:-(


Hebu Silkie arudishe dubstep kwa ndude- Feel



Shabazz Palaces waingilie kati kwa - Are You...Can You...Were You?




Shabazz Palaces wakumbushie- Recollections of the Wraith



Au tu hebu tena Shabazz Palaces wa - Swerve




Au tu Silkie amalizie tu tena kwa - Jazz Dubstep


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 5:43 pm  

kaka wa mimi maneno hayo!!kibaya kwako ni kizuri kwa mwenzio,Kipenda Rohooooo......

Simon Kitururu 9:02 am  

@Mtoto mzuri Rachel: Si utani! Lijiti lipenda roho hula nyama Mbichi!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP