Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NGUMI ZAENDELEA KUHAMASISHWA ILALA

>> Sunday, August 21, 2011




Bondia Yohana Robart wa kambi ya Ilala akioneshana ufundi wa kutupa
masumbwi na mtoto, Zainabu Mhamila 'IKOTA' wakati wa mazoezi
yanayoendelea katika kambi hiyo juzi.(Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com )






Kocha wa mchezo wa ngumi Kondo Nassoro (kulia) akimwelekeza mtoto
Zainabu Mhamila 'IKOTA' jinsi ya kutupa masumbwi wakati wa mazoezi ya
kambi ya Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM Dar es
salaam.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com )


Habari imeletwa na:

RAJABU MHAMILA
Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
 Mob;+255787 406930
       +255774406938
       Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP