Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wosia wa Rais NYERERE!

>> Tuesday, August 09, 2011

Asante Tangibovu ,...
... kwa kuziweka video hizi mtandaoni kama ifuatavyo...








NI kumbukumbu tu MUUNGWANA!


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 1:56 am  

JULIUS NYERERE: [MuIslam, kwa Mkristo, hata yule asiemuamini Mungu...tutamwapisha kuilinda katiba ... ya Nchi kama Raisi...na anaposhindwa kuilinda tumjue yeye ni msaliti].


Sawasawa kabisa na Afrika Kusini. Lakini siku moja mimi nitamfukuzisha kazi raisi fulani hapa kwetu (wala isiwe huyu wasasa nisije nikafungwa bure)... maana yake tunatapeliwa mno hapa Bondeni!

Asante, Mkuu kwa hiyo http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=fup2qRtvnTc

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP