Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la KUDHANIA Askofu anajua BIBLIA na SISTA hajui MAPENZI ,....

>> Wednesday, August 31, 2011



..... vyakudhania hasa VISIVYOTHIBITISHWA ,...
..... huwezageuzwa ndio UKWELI WENYEWE!:-(

Swali:
  • SI unakumbuka UDHANIACHO- hata kama  kidhaniwacho ni mheshimiwa hajavaa chupi - hasa kama huna USHAHIDI na UHAKIKA labda bado hicho SIO KWELI?

Ndio,...
.... kuna vyakudhania mpaka kuwa MAREHEMU KAENDA MBINGUNI,...
..... lakini kama hakuna ushahidi,....
....... labda KUDHANIA ni KUDHANIA TU  na  haki ya nani tena labda bado  SIO KWELI HICHO!:-(

Swali:
  • Kwani kuna mtu anauhakika kwa asilimia MIA hata ya  Marehemu alikuwa MTU Mzuri hasa kwa kuwa inasemekana MTU MZURI kwako kama GADDAFI labda kwa MWINGINE ni MBAYA na hafai bila kuruka kipengele cha hatujui mtu anafikiriaga nini na nasikia mambo mengine hata  KIFIKIRA ni dhambi au tu misingi ya UTU UBAYA? 
  • Kwa kudhania kila MAMA WA KAMBO ni MBAYA si unaweza kuruka MAMA wa KAMBO wazuri kabisaa?
  • Si inasemekana hata WACHAWI ni washikaji tu wakawaida kiutu uzuri  MCHANA ila usiku fulu KUKUWANGIA au kipopobawa kunajisi watu kitu ambacho kwa KUDHANIA kama wewe hupainao UNGO usiku unawezafikiri ni WATU wazuri tu?

Ndio,...
... mie NADHANIA ni bora niachie HAPA hii taralila!:-(
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
SIKU NJEMA!:-(




Hebu mutoto wa Afrika KEZIAH JONES ambaye nimiongoni mwa wanamuziki watokao AFRIKA niliowahikugongana nao mitaani nchi za magharibi ambaye haachi kunikosha roho aanzishe upya kwa kurudia-Million Miles from Home



KEZIAH JONES adinye tena pia - MY KINDA GIRL




Keziah JONES a -Familiarize



Keziah Jones amwage tena  - So Much Trouble in the World





Ndio huyu huyu mdau akumbubshie- Blufunk Is a ALIVE



Kabla  tu hajamalizia tena  kwa-Beautiful Emilie




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP