Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama MWEUSI na uko LIBYA chamoto utakiona sasa hivi!:-(

>> Tuesday, August 30, 2011

Ukionekana MWEUSI LIBYA,...

.....maana yake ni kuwa UNAMFAGILIA  papaa GADDAFI,...
.... na tafsiri yake ni kifo njenje chini ya  hawa wanaosaidiwa na NATO!:-(

Deku KIDUCHU waliokumbwa,...


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mzee wa Changamoto 6:35 am  

UJINGA BUSARA wangu unakuja ukiwa na kichwa cha habari "kabla hatujashangilia 'ushindi' wa 'waasi' Libya..."
Na naanza kuona pointi za nyongeza hapa.
Bless Kaka.



Duh!

Simon Kitururu 6:59 am  

@Rasta Mubelwa: Unajua kuna Walibya wengi walikuwa hawapendi GADDAFi kujioanisha na AFRIKA kwa kuwa wanaamini wao ni WAARABU na walikuwa wanaudhika na na GADDAFI kujioanisha zaidi na WAAFRIKA weusi inasemekana.

Na sasa hivi wanatumia kisingizio cha WEUSI walikuwa ndio wanajeshi wa GADDAFI kuchukua sheria mkononi wakikukuta mweusi kukushughulikia kwa hasira zote walizokuwanazo kuhusu watu weusi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP