Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MFALME MSWATI III akichagua MTOTO MZURI wa raundi MPYA ya mchonyo,....

>> Wednesday, August 10, 2011

.... ndio,...
... namaaanisha akichagua MKE MPYA  mwenye bikira zote saba MPENDWA,...
.....ili kujitahidi kuendelea kutunza UTAMADUNI wa KIAFRIKA ambao WAAFRIKA wanaukana SIKU HIZI !:-(


Mswati III (Jina la kuzaliwa : Makhosetive Dlamini on April 19, 196
HUYU ni MFALME wa  Swaziland na MKUU wa wa familia ya KIFALME ya SWAZI kama hujui.:-(
Ni mfalme tokea mwaka 1986,  alipochukua ufalme kutoka kwa BABA yake  Sobhuza II na kuwa MTAWALA.

Anachukuliwa kama  mmoja wa WAFALME waliobakia hapa DUNIANI ambao wana nguvu za KIFALME. Ingawa bado anafungwa KITAMADUNI na MILA na DESTURI mpaka baadhi ya wake zake ni  wakupewa na serikali atake asitake KITAMADUNI ingawa kutokana na kuwa ananguvu sana katika serikali ya Swaziland ,...
.... ni wake wawili tu aliopewa bila kuwachagua mwenyewe kwenye ndude kama za kwenye picha zifuatazo,....




Baadhi ya PICHA wakati ,...
... KING MSWATI anadaka KIMWANA /KITOEO kimoja kipya,...
.... kimtazamo wa wadhaniao kwenye ndoa  MOJA na MOJA,...
.... ni sawasawa na KURIDHIKA na MOJA  hata kama moja hiyo ni ya mviringo:
Kimwana MPYA katika zoezi aliyenaswa kwenye ulimbo:-(Anatabasamu lakini!:-).


Katika tabasamu halisi kama vile hajadakwa na MUME wa MTU!:-(



Lazima kitu kichunguliwe nasikia!:-(

Basi bwana nimeshindwa kwa kuwa PRINSESI yuko kama habakwi vile kishoo!:-(

Nyonyo iliwakilishwa kwenye shughuli pia na nasikia ni moja ya KIPIMO !:-(


SAMAHANI tuache tamaduni za watu ,...
.....na LABDA hili ni WAZO tu!:-(


Hebu tubadili mshawasha kwa kupitia HAITI tena ili Black Parents waongelee-Oblige






Lucky Twoubadou arudie-Madan Bonga




Tonton Dezirab mchekeshaji hapahapa HAITI arudishe-Veye Volò





KINGWENDU aturudishe BONGO NYOSO kwa-MAPEPE





Au tu MHAITI yule ajulikanaye kirahisi mpaka BONGO NYOSO yule WYCLEF amalizie kwa-L.o.v.e




Baadaye kidogo lakini kwenye mnuno uleule,....
.....SWALI:
  • Si unajua labda afanyacho MFALME MSWATI ni AFADHALI kiko HADHARANI  kwa kuwa unafikiria  WAHESHIMIWA wako MSIKITINI au KANISANI bila kusahau chini ya MBUYU  hata wa CHAMA CHA SIASA WAKEMEAO UFUSKA unauhakika hawana kimwana ZAIDI ya TISA  ,.... au MMOJA TU  ki- WAWILI  kama MKE WA MHESHIMIWA mmoja tokea mwaka AROBAINI ,..... na labda ndio vitombi na vitombwa,... na KING MSWATI haoni ndani ki UTAKATIFU?:-(
  • Unauhakika hata kikimawazo,....  kama wewe umevunja ungo au tu bonge la BIKIRA  kama tu walio BALEHE kwa kulia kisa wamestuka tu wamebalehe kwa kuchafua chupi  na shuka ugenini,.... tukikusachi ,... hata kindoto ,....UNAUHAKIKA hujashikashika mtu au KIGOLI au RIJALI mara nyingi KADHAA ,.... na huyo  huna ruksa naye KINDOA hata za mkeka ,.. hata kama ki-KING MSWATI hushangiliwi na nchi nzima leo usiku tumemshuhudia mpaka CHUCHU utakaye KULA,... au  umlaye ngoma mpya?


    NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

    0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

    Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


    Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

    Partner

    save mt. Kenya campaign
    In partnership with africapoint.com

    Taswira BANANGENGE

      © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

    Back to TOP