Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Najua UNAJUA!Lakini,......

>> Tuesday, August 16, 2011

.....si KUKUMBUSHWA imo?


Ndio,...
.... kila BINADAMU kuna ahitajiyo KUKUMBUSHWA ingawa anayajua,...
.... kwa kuwa kuna UWEZEKANO kuna wasahauo mpaka  kuwa BINADAMU ananuka MDOMO  na ndio maana labda kupiga MSWAKI ni DILI.



Swali:
  • Kwani unafikiria BINADAMU lukuki hupiga MSWAKI kwa kuwa wanaogopa kuoza MENO au kwa kuwa wanakwepa kustukiwa wananuka MDOMO?



Ndio,....
..... labda ufikirialo hujui  UKIKUMBUSHWA,...
.... utastukia unalijua vizuri tu ila tu  kama tundu la sikio  huwa linasahaulika kuwa lipo na LAJULIKANA.:-(


Ni wazo tu hili NGULI!



Hebu chapuchapu African Connection , Denise & Bloco warudie-AMI OH



Bebe MANGA arudie kitu asili hichohicho katika mtuno originale-Ami oh




Au tu Swahili Nation waingizie - Hakuna Matata



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP