Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hebu tutembelee NYUMBA ya MWALIMU wa shule ya msingi MCHUCHUMA Iringa mwaka 2011!

>> Tuesday, August 02, 2011

UALIMU ni WITO,....
.... lakini!:-(



Mwalimu akiwa mbele ya nyumba yake!
Mwalimu huyo Darasani!


Swali:
  • Unafikiri kama mwalimu wako anaishi hivi  na MAFISADI kama uwajuavyo wanaishi VILE unadhani  motisha ya mwanafunzi itakuwa kuwa FISADI au MWALIMU?



Ni wazo tu hili !


Kwa habari zaidi  kuhusu HUYU MWALIMU ,...
.... ambaye ni mmoja kati ya timu ya walimu WAWILI tu SHULE NZIMA huko MCHUCHUMA , LUDEWA,....
.....tembelea BLOGU ya LATEST NEWS TZ kwa kukongoli HAPA
.....au kwa FRANCIS GODWIN,....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP