Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mzee Raza sehemu ya pili |URBAN PULSE|

>> Tuesday, August 16, 2011





Salam,

Global Fusion Music & Arts inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika Chrlton House Hapa London.


Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na  kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts.
Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanaga.



Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE




 Sehemu ya kwanza,....
...katika blogu hii iliyokwenda kwa kichwa cha habari :

Mtambue Mchoraji Wa Kimataifa Mzee Raza!


....kongoli,...
....HAPA


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP