Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tucheke kidogo!

>> Friday, August 19, 2011




Ndio,..
.... maishani kuna kilio pia,...




Haya tuendelee na kazi!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:59 am  

Kucheka nako kuna mtu na mtu ambaye anaweza kucheka na kila mtu. Ila vicheko hivi sijui kama ni vya kweli...Swali hivi kwanini wakati mwingine mtu ukicheka, unacheka hadi unatoa mchozi?

Simon Kitururu 6:41 pm  

@Kapulya:Sayansi ya kucheka mpaka utoe machozi siielewi vizuri ingawa nilishawahi kusoma mahali kuwa :

Wakati MTU anacheka na analia uso ki-facial expressions hucheza sawa. Nikiwa namaa misuli ya uso na mpaka staili ya kuhema ya mtu aliaye na achekaye hufanyika sawasawa kitu kifanyacho glands zihusikanazo na kutengeneza machozi husisimuliwa kisawa kwakuwa miundo mbinu ihusianayo na kucheka na kulia huwa behave sawasawa.

Ila mie naamini hakuna MTU hapa DUNIANI awezaye kucheka na KILA MTU!:-(

Yasinta Ngonyani 3:16 pm  

Haya nimekuelewa Mt. kuhusu kucheka ...nakubaliana nawe huwezi kucheka na kila mtu ...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP