Daladala MBEYA zapandisha NAULI!
>> Thursday, August 11, 2011
Nauli zapanda kutoka sh 300 mpaka sh1000 kituo hadi kituo!
![]() |
Dala dala za Mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo sababu ni kukosekana huduma ya mafuta katika vituo vyote vya mbeya |
![]() |
Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka juzi wanasema hawana mafuta |
Picha na maelezo,...
.... kutoka MBEYA YETU blog.
Hebu tubadili ,...
... kwa kukumbushwa na TRICKY kuwa -Hell is around the corner
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment