Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mutoto ya BAGAMOYO ile JHIKOMAN in FINLAND.

>> Wednesday, August 17, 2011

Jamaa  katika  nanihii,...
.... anamchezo wa kuwakilisha ingawa kwakuwa afanyacho sio BONGOFLEVA,...
... nasikia kuna WAJANJA hawamstukii.:-(


Mstukie basi,...

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:11 pm  

Ama kweli Kaka Simon we mpekuzi kweli kweli AHSANTE sana kwa kufanya hivi kwani wengi tunafaidika/jua mengi.

Simon Kitururu 4:15 pm  

@Mtoto Mzuri Yasinta: Hakukua na upekuzi wala nini aisee! Jamaa kimaswalafulani ndiye mkali BONGO!

Yasinta Ngonyani 5:04 pm  

Lakini bila wewe kuweka hapa mimi nisingemjua:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP