Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unapenda TAARABU?Unapenda URODA?....au UNAPENDA tu KUMJUA MTU ambako labda sio KUMFAHAMU?

>> Sunday, August 21, 2011

LUGHA!


Siku hizi kama zamani tu ,...
... kumbuka SENTENSI hiyohiyo kwa kuwa kiustaarabu watu hawasemi neno walifikirialo  WAZIWAZI kwa kuwa linaweza kuwa ni JINA LA SEHEMU ZA SIRI  au tu neno NYOKO,...
....usishangae kuna wakuelewao vingine katika sentensi na maneno yaleyele uyaheshimuyo,...
... kisa ni vilevile mila uziheshimuzo zinafanya watu wabadili maana ya neno mpaka lile la kawaida kama KITUMBUA, samaki , harage, BATA,...
........kumaanisha JAMBO JINGINE hata kama ni kipengele tofauti na LABDA hicho  ni cha mwili wa mtu.:-(


Swali:
  • Kwani hukuwahi kustukia majina mpaka ya kampuni kama TIGO kuna waelewao tigo ni tako na ukiombwa jicho maana yake umeombwa kinyeo?

Ndio,..
... ki- MILA na DESTURI ziwafungazo watu uhuru wakutaja majina ya VITU,...
...kumbuka sentensi safi uzipendazo kilokole zaweza kuwa ni za kisenge kwa MSAGAJI asiyependa avihusianishavyo na mavi!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu OFFSIDE TRICK waongelee,...
...BATA na,..
....SAMAKI,..
...kama unafikiria waongeleacho ni BATA na SAMAKI,..
... waanzishe na -BATA



Wadinye -SAMAKI




Au waongezee tu dozi kwa-Kidudu MTU



Kabla NINJAMAN,..
...hajaingilia kati,...
....na kubadili ndude kwa kudai-MURDER THEM





Ninjaman arudishwe kama tu alivyokuwa - The Original Don Gorgan




 NINJAMAN ajaribu kulainisha kwa - My Weapon




Au tu SHABBA RANKS azime manyanga kwa kukumbushia wasio na heshima-RESPECT




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP