Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

INASEMEKANA siri ya KUNUKA MKOJO kwa hata asiyenuka MKOJO ni MKOJO aisee!:-(

>> Monday, August 01, 2011

Na yasemekana,...
.... siri mpaka ya CHAI ni CHAI,...
.... na mpika CHAI huyo ni miongoni tu  ya MANJONJO tu ,...
.... kama tu kwenye ngono ikisifiwa KONDOMU wakati utamu wa NGONO ni tendo la NIPE nikupe  au hata usiponipa wakati nakupa basi NICHUKUE kwa nguvu yako NANIHIII aisee!:-(

Swali:
  • AU?
Ndio,.....
...... inasemekana pia kuwa ukisikia harufu ya MCHAICHAI ,....
.... labda haina maana kuna MCHAICHAI  kama tu kwenye ngono ilivyo PUNYETO ingawa  kipunyeto YASEMEKANA wahusika hupiga bao lilelile ,....
.... ingawa labda kuna tofauti LAKINI!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na ni KIHESHIMA kabisa aisee!:-(

Hebu kikidongoloso tugewe Ki-WIMBO wa TAIFA
kutoka kwenye bakuli la KALA JEREMIAH na NAKAAYA




Samahani tubadilishe na tuchezee gololi kiupya ki GOLOLI kwa gololi mwanana kutoka ANGOLA za Bela Chicola zile- Pilima Yangue



Au tu J.P. RAMAZANI na KASS KASS waingizie-KETEKE




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP