Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MWANAUME anaweza kuwa MWENYE FURAHA na MWANAMKE YOYOTE YULE ikiwa tu HAMPENDI huyo MWANAMKE-Oscar Wilde

>> Monday, August 22, 2011


Kwa ung'eng'e:

A man can be happy with any woman as long as he does not love her.

- Oscar Wilde

NAWAZA TU!:-(


Hebu Tanya Saint Val aanzishe upya  nakunyutrolaizi wazo kwa - Zouk a gogo



Patrick Saint-Eloi alainishe kwa - Si Sé Oui



Volte-Face waingilie kati kwa -Zouké light




Volte -Face watekenye zaidi kwa-If I say YES





Tanya Saint Val arudi tena nakudai ya - Mi Chalè





Kabla Jocelyne Labylle hajadai  tu nakumalizia kwa - Quand tu veux



3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:45 am  

Utakuwaje na furaha na mwanamke usiyempenda? nimejiuliza tu kwa sauti ....

Simon Kitururu 11:10 am  

@Mtoto mzuri Yasinta:Kunamaumivu yajayo na KUPENDA lakini!:-(

Yasinta Ngonyani 1:56 pm  

-:(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP