Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna waaminio tu MTU , mizizi au tu hata firigisi za bata BILA sababu!:-(

>> Sunday, August 21, 2011

Ndio,..
... na kuna wenye MISINGI ya IMANI ambayo ni WAZAZI WAO,...
... kitu kifanyacho kwa imani wanaamini CHURA kisura ANATABASAMU kwakuwa ndivyo walivyorithi  uelewaji wa chura kutoka kwa WAZAZI WAO!:-(

Swali:

  • Unafikiri kuna WAKRISTO wangapi wangekuwa WAISLAMU kama  wazazi wao wangekuwa WAISLAMU?
  • Na unafikiri katika WAISILAMU ni WASUNNI wangapi wangekuwa WASHIA kama wazazi wao wangekuwa WASHIA?

Na labda,...
.... SAMAKI kirahisi ni mbaya kwa WAMASAI,...
... au tu hata NGURUWE kama tu NYAMA yoyote ile ILIVYO ni ushuzi mtupu ,...
..... kwa atokaye katika  mazingira ambayo  ujanja ni MCHICHAMCHICHA, kabichi   na  ,....
........wakati anakua  hasa kabla hajafikia umri wa  kutolewa bikira KIHALALI  au tu kubalehe ndilo swala lielewekalo ni ujanja KIAINA kwa wamkuzao hata kama kimkuzacho ni MAZINGIRA.:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Jocelyne BĂ©roard aanzishe kidude upya kwa- Siwo



J Martins ae- Oyoyo






J Martins adai tena zaidi kuwa -E no easy


Au amalizie tu na FALLY IPUPA tena katika mshawasha-Jukpa




Au tu FALLY IPUPA akiwa na OLIVIA kimmalizio wadai tu tena nyomi-Chaise Electrique


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP