Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika KISWANGLISH: Selective READING ifanyavyo nasoma yahusianayo na SEX tu MTANDAONI !

>> Wednesday, August 03, 2011

As U KNOW Bwana,...
.... unajua usipo seleckti unachosoma hata kama usomacho na KUCHAGUA  unakitoa kwenye BIBLIA,...
.... unaweza kukuta BIBLIA , KORANI au tu hata KAMASUTRA inavilivyoandikwa ambavyo kitafsiri fulani ni,...

....  UA ADUI yako upate SWAWABU,...
... UTUMWA oyeeee!,...
...Ulalahoi POA,....
... kama sio kukufanya tu ujistukie kuwa labda KINANIHII ni NANIHINO,...
..... ingwa wakuhubiriao KINANIHII huoni WAKINANIHINO!:-(



And YOU know Bwana  ,...
... kwa kuselect UNAVYOSOMA unaweza kufikia kuwa BOMBA la MJUAJI kwa kuwa unajua tena LIFE is too SHORT ,....
..... labda  chagua utakacho kujua  na mengine waachie WENGINE ni filosofi yangu tokea  niko pale HAVARD ya MAKERERE chuo kikuu!


TUKIACHA utani:
  • Si unajua labda kila ukiingia MTANDAONI huwa unatafuta mambo yaleyale kitu ambacho kinaweza kuhatarisha MAPANA na MAREFU ya UJUAYO?
  • Kwani unataka kusema hujui WABONGO ambao watafutacho MTANADAONI ni siasa tu za TANZANIA ,... samahani habari za udaku wa ngono kama MIMI?:-(

Ni wao tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!

Hebu tugewe tena Moyo unauma na Lumobanja



Au tu Khadija Yusuph awekewazi kitu kwa kudai -SITAKI






Kabla tu Israel Vibration waingilie tena na kupindisha haliya hewa kwa - Mud Up


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP