Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUJARIBU ni dawa ya KUISHI huku ukiridhika kwa kujua hata kama HUKUOPOA NGOMA angalau ULIJARIBU!

>> Wednesday, August 31, 2011

Kujaribu  ni DAWA,...
..... kwa kuwa  kwa weza kukuhakikishia ni jinsi gani UNAJUA hata kile uaminicho unajua,....
.... kwa kuwa labda bila KUJARIBU hutajua kwa uhakika ni kweli UNAWEZA uaminiyo unajua!:-(

Swali:
  • SI unajua bila MDADA  KUJARIBU labda hakitafanyika kitu kihiari katika DUNIA ya leo ya KISASA?
  • Na siunajua bila kufanya labda hakuna atakaye gewa mimba?



Ndio,..
... labda JARIBU,...
... kwa kuwa angalau KISAIKOLOJIA,...
.......bado ni tiba PIA ya yale ambayo ungeweza kuja KUJILAUMU hata UZEENI  kisa HUKUJARIBU wakati KIUJANA ungeweza!:-(


NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu OSHO aongelee- Behave As if You Are the First Here




OSHO aendeleze shule kimtazamo wake kwa- Anybody Who Gives You a Belief System is Your Enemy.



OSHO aongezee dozi ya shule kwa- Love and Hate Are One



Krishnamurti angilie kati darasa na kuuliza - Who am I?



J. Krishnamurti amalizie darasa kwa- Why don't You Change?








3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:55 am  

Duh! inabidi haraka hapa sasa maana wengine tunakaribia UZEE na isije tukajigamba:-(

Sam 5:32 pm  

Kujaribu/kuthubutu.huwezi ukajaribu kitu halafu usiridhike namatokeo yake. hapo utakuwa unapingana na neno lenyewe kujaribu.pia unapojaribu ukifanikiwa,nifunzo tosha katika maisha.ila katika kujaribu huko ,ujasiri nimuhimu,ili upate kile unacho kijaribu. kaka S.

Yasinta Ngonyani 5:37 pm  

Kaka Sam! Kweli umesema kujaribu ni majaribu. Hii ndio maana hata mwizi akishaanza kuiba basi kuacha ni vigumu sana....Pia ninawasikia wanaovuta sigara wanasema ni VIGUMU sana kuacha..... Duh! kaaaazziiii kwelikweli!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP