Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Fanya UNACHOWEZA MKUU,....

>> Thursday, August 04, 2011

 ..... usiyoyaweza  achana NAYO kwa kuwa hakuna awezaye yote!

Swali:
  • Ukifanya uliyoyaweza si lakini umejaribu MKUU?
  • Na kuridhika na uyawezayo si ni TABIA nzuri tu MKUU!

Ndio ,...
.... kwa bahati mbaya nasikia KURIDHIKA ni mchezo MGUMU,...
.... ila tatizo kubwa zaidi yasemekana ni kuwa MTU usipojifunza kuridhika na uyawezayo,...
.... kinachofuatia ni KUJIUMIZA tu MWILI na ROHO!:-(


Ni wazo tu hili MKUU!
SIKU NJEMA!






Hebu Pepe Kalle aanzishe upya kwa- Don't Cry Dube



Avuuuuu..... katika-Vuta pole pole KARIBU


Aendeleze kwa -Soso Ya Tongo



Papi Tex aingizie- Mabele Riche



Pepe Kalle aje tena  na Nyboma bila kumsahau Dally kimoko katika - Nina



Arudishe-LA RUMBA



Halafu  adinye - Moyibi



Kabla hajatukumbusha yaliyompata ARUSHA katika-HIDAYA

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 8:34 am  

Mkuu ujumbe wa leo umefika mahala pake, kwani `ukiiga tembo akinya utafanya nini vile....hivyohivyo!
Tupo pamoja mkuu

Mwanasosholojia 2:38 pm  

Umenena yote umemaliza...jikune unapofikia bwana...alah!:-)

Rachel Siwa 4:38 pm  

kaka wa mimi leo umewaza!!!tena utajinyanyasa mwenyewe na kutafuta magonjwa bure!!!!

Mija Shija Sayi 6:39 pm  

Tamaa haifai...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP