Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama wewe ni GADDAFI sasa hivi,...

>> Monday, August 22, 2011

.... unafikiri ungekuwa unafanya nini kabla hujadakwa?



Swali zaidi :
  • Hivi raia wakibeba silaha huwa wanatambulika kama RAIA?

NAWAZA TU!:-(


Hebu GADDAFI aongee tena kidogo,...


Au tu arudie -Zenga Zenga

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 6:25 pm  

Ndiyo hivyo tena, keshaporomoka huyo, atabaki alikuwa.....

Anonymous 6:40 pm  

ningekuwa mimi Gaddafi, wala nisingefika kote huko,mwanzoni tu ninge soma nyakati.ila kwa sasa ninge umimina kwani nchi nyingi za afrika bado zina mpenda huyu jamaa.ningekimbilia msumbiji au hata brazili.ila wazungu we acha tu ,niwakwezetu,wakezetu,shemeji zetu nk wanatu changanya kwelikweli hasa wakitaka wanalolitaka.

haya mtakatifu sijuwi ungekuwa wewe ungefanyaje?
kaka s.

Simon Kitururu 12:32 am  

@CHIB: Ndio hivyo tena yani,... lakini nafikiri anamiaka kibao katika kumbukumbu ambayo alifaidi!

@Kaka S: Nakubaliana kabisa na wewe! Ila sina uhakika ningekuwa Gaddafi ningefanya nini. Ila kushikwa na kudhalilishwa kama Saddam Huseinn nako noma!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP