Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa inadaiwa WANAWAKE watombwao vizuri NYUMBANI ndio WATULIAO NYUMBANI!

>> Wednesday, August 10, 2011

Tahadhari: Taralila hii imepinda!:-(



Lakini inasemekana kama hatuongelei wasenge na wasagaji,...
.....ili MWANAMKE agewe MGAO regula  wenye HARI MPYA wa NGUVU  nyumbani,...
.... labda inahitaji kuwe na MWANAMUME ashurutishaye vishindo visivyo vya kubahatisha hapo NYUMBANI hata kama ni vya STORI tu  za alinacha ambazo angalau zamkalisha mkaaaji  MWANAMAMA  hapo nyumbani  huku akijiamini akitaka  NDIZI atapewa angalau muhogo.:-(


Swali
  • Si labda kuna ukweli katika hilo hata kama hatujafanya utafiti wenyewe?

KUTULIA nyumbani kwa furaha,...
... ni kitu kisemekanacho kuhitaji ridhiko fulani,...
.... la sivyo KUTULIA nyumbani kwaweza kuwa ni kwakuwa tu umechoka na ndipo kitanda kilipo na mpaka kiporo au pia kwenye chandarua kisaidiacho kulinda ukishinda na njaa watu wasijue!:-(

NI wazo tu hili KIBOLINGO  MHESHIMIWA,...
....na SAMAHANI kama kuna neno limekuudhi kisa ulisha fundikishwa ni TUSI!:-(


Swali ekstra:
  • Unauhakika hupendi matusi?
  • Umechunguza madhumuni yako ya kuwa NYUMBANI labda inawezekana ni kwa kuwa tu imebidi uwe NYUMBANI?


NIMEACHA!:-(
Na hebu Lauryn Hill arudishe busara kwa - Love




Huyuhuyu Lauryn Hill arudishe pia-Hush little BABY





Au amalizie kwa-Little Drummer Boy




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP