URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya Futari iliyoandaliwa na Ubalozi wetu hapa Uingereza jumamosi tarehe 20.8.11 ikiwajumuisha watanzania kutoka katika madhehebu mbalimbali.
@Kaka S: Kweli kabisa haya mambo ya futari BAAB KUBWA na kiusiku usiku yamewahi kunisaidia kupata mpaka mpenzi enzi fulani kisa giza halafu mwezi mtukufu!:-(
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mtakatifu,haya mambo ya futari, yanarahayake.inapendeza kuwaona watanzania kwa pamoja ,wakikutana nakufuturu pamoja.hongera balozi.
kakas.
@Kaka S: Kweli kabisa haya mambo ya futari BAAB KUBWA na kiusiku usiku yamewahi kunisaidia kupata mpaka mpenzi enzi fulani kisa giza halafu mwezi mtukufu!:-(
Post a Comment