Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ubalozi Wetu Uingereza wafutarisha|URBAN PULSE|

>> Sunday, August 21, 2011

Salam,


Ubalozi wa Tanzania Hapa London Leo uliwaalika watanzania wote kutoka madhehebu na dini mbalimbali kuja kupata futari ya pamoja walioandaa ikiwa ni ishara njema ya kuonyesha amani,upendo, ukarimu kwa watanzania wote. Vyakula vya aina mbalimbali viliandaliwa  na vilipikwa katika hadhi ya kitanzania. 
Naibu Balozi Mh Chabaka aliwashuru wadau wote ambao waliweza kuja na kujumuika na kufuturu kwa pamoja. Aidha Mh Balozi aliahidi kushirikiana na watanzania kwa ukaribu zaidi katika hali na mali pia kuwaomba kutoa ushirikiano wao na ubalozi katika kuboresha mawasiliano na utendaji wa kazi ili kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Aliendelea kwa kusema Ubalozi upo kwa ajili yetu hivyo tuutumie ipasavyo.


Kwa niaba ya URBAN PULSE CREATIVE Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ubalozi wetu kwa namna walivyojitolea kutengeneza futari na kuwakaribisha wadau kuja kufuturu.

Asanteni Sana,


MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA

URBAN PULSE CREATIVE


P
icha za tukio:

Afisa Zamarani akiwakaribisha wadau wote.jpgAfisa Zamarani akiwakaribisha wadau wote
Aziza Ongala( Mtoto wa hayati Remmy Ongala) Akila pozi na Frank.jpgAziza Ongala( Mtoto wa hayati Remmy Ongala) Akila pozi na Frank 
Carol kutoka ubalozini(kushoto) akila pozi na jestina George.JPGCarol kutoka ubalozini(kushoto) akila pozi na jestina George.
Freddy Macha katikati akiwa na wadau.JPGFreddy Macha katikati akiwa na wadau
Futari likikwenda sambamba kwa kupiga stori na kufurahiaJPG.JPGFutari likikwenda sambamba kwa kupiga stori na kufurahia
hata watoto walikuwepo.JPGhata watoto walikuwepo
Mh Naibu Balozi kilumanga akitoa shukrani kwa wote walioweza kuja kupata futari .JPGMh Naibu Balozi kilumanga akitoa shukrani kwa wote walioweza kuja kupata futari 
muda wa kupata futari ndio huu.JPGmuda wa kupata futari ndio huu  
Mzee Kiondo kutoka Ubalozini akisubiria Futari.JPGMzee Kiondo kutoka Ubalozini akisubiria Futari  
ustaadhi akiangalia mda kama umefika ili wadau wapate kufuturu.jpgustaadhi akiangalia mda kama umefika ili wadau wapate kufuturu
wadau wakipata Futari.JPGwadau wakipata Futari.
wakati wa dua.jpgwakati wa dua  
zamu ya kina mama sasa.jpgzamu ya kina mama sasa.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP