Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ingawa UKWELI upo,....

>> Thursday, August 11, 2011

...... jinsi ya kuufikisha UKWELI  kwa MTU labda ndio TATIZO.

Swali:
  • Kwani hudhani labda asili ya uwepo wa DINI nyingi hapa DUNIANI  ni jitihada tu za wadhaniao wana UKWELI  kujaribu kuufikisha kwa UMMA huo UKWELI?

Ndio,...
....... labda ni kweli ,.....
.......... ugumu wa UKWELI ni jinsi ya kuunyambulisha ili nasi wengine tuamini ni KWELI!:-(

Na tatizo la UKWELI,....
..... ni kwamba LABDA kila mtu ana wake,....
..... kitu kifanyacho mengi yadhaniwayo ni KWELI,....
..... labda sio KWELI!:-(


NI WAZO tu hili KAMANDA!:-(


Hebu TRICKY arudishe trip hop kwa-Black COFFEE




Tricky aongezee dozi ya trip hop kwa- 6 minutes




Au aje tu live kwa - Carriage For Two



Kabla hajamalizia kwa - Evolution Revolution Love


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP