Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

JIHADHARI na anayejiongelea,...

>> Monday, August 22, 2011

... kwa kuwa inasemekana,...
.... MTU akipata nafasi ya KUJIONGELEA,...
..... kunauwezekano MKUBWA atajifagilia ili aonekane BABU KUBWA!:-(

Swali:
  • Unafikiri ni watu wangapi watakusimulia mabaya kuhusu wao ukiwapa nafasi wakuelezee wao ni WATU wa namna GANI?

Ndio,...
... inasemekana hata kinuka MKOJO,....
.....anaweza kuruka kipengelee  cha kuwa huwa anajikojoleaga ,...
....ukimpanafasi ya KUJINAFASI kisimulizi!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!:-(
Jumatatu NJEMA!

Hebu twende Ivory Coast ili Betika aanzishe katika kubadili wazo kwa- Fakaloh





Hapahapa Ivory Coast tugewe Premiere Gaou kutoka kwa MAGIC SYSTEM



Magic System waongezee kidogo kwa - Bouger Bouger



Magic System waongezee dozi zaidi kidogo kwa - Zouglou Dance



Tupitie tena GHANA ili Veeda na Nixon warudie - Bribi Yaaye Me



Au turudi tena BENIN na kutuliza kidogo na Freres Koud Akol katika ndude- Bada



Kabla tu  hatujarudi CONGO ili AWILO LONGOMBA arudie tu -Coupe BIBAMBA


Au tu Awilo Longomba a - Cache Cache

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP