Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kisababisha UTAMU hata wa busu la KUIBIA,...

>> Sunday, August 07, 2011

.... labda ni MTENGENEZO wako AKILINI wakati unafikiria nini kiwe KITAMU!

Swali:
  • UNABISHA?
  • Si unajua kwa utakaji ndio maana inasemekana MBELE na NYUMA kote ni kutamu na katika HILO inategemea tu ni nani unaongea naye kuhusu UTAMU  wa mwili?




Na kisababisha NANIHII ni TAMU,....
.... inaweza kuwa ni takwa lako tu iwe tamu na labda ndio maana TAKO na KIKOJOLEO ni tamu kwa walengao utamu kwa hilo hata kama kijina ni WASAGAJI!:-(


NI WAZO tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu Seu Jorge aanzishe upya kwa kuturudisha Brazil kwa - Bom Senso




Seu Jorge alete pia -Pretinha ao Vivo




Seu Jorge aongezee - Pessoal Particular



Seu Jorge aongelee pia  ya - Carolina


Au hebu GELLY na AT wakiwa na RAY C waturudishe Bongo Nyoso kwa -MAMA ntilie


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP