Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BONGO tambarare HATA kwa kinuka GWAGURO!

>> Wednesday, August 10, 2011

Samahani uliyepiga PICHA sijaweka CREDIT kwa kuwa sijui BADOasili za picha hizi,...
.... ni kijua hizi picha ni wewe mwenye hatimiliki ntajulisha watu ni picha zako HAPA  na kama ukitaka nisizitumie ntazitoa!:-(

TUKIACHANA na HILO,....
.....MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Na ikiwezekana tujalie tuache UBABAISHAJI pia!:-(

Hebu Erykah Badu aanzishe upya kwa kujaribu kutubadilisha wazo  kwa - Window Seat





Adinye-HONEY



Baglady



Kabla tu huyu mdada huyuhuyu Erykah Badu hajakatisha ghafla faragha kwa-Didn't Cha Know


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 6:20 pm  

Inasikitisha kweli, la umeme halijaisha mafuta nayo hayoo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.

emu-three 1:23 pm  

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake, lakini viongozi...mmh, siwaombei mabaya, ila ...MTUBU SANA

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP