Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KWAME NKURUMAH na matatizo ya UMEME nchini GHANA!

>> Friday, August 19, 2011


Ndio,...
.... moja ya alichokuwa anakipa umuhimu tokea mwanzo ni-UMEME.




Au aongee tu siku ya UHURU




Ndio ,...
..... MPAKA leo kuhusu UMEME na UHURU wa nchi za AFRIKA,...
.... ni jambo lijadilikalo kwa kuwa MTU anaweza kubisha kuwa AFRIKA haiko huru na TUKAKUBALI ,...
....na kuhusu UMEME twajua hata kwa kutokea angani kwenye space station/ orbital station AFRIKA ndilo bara BADO lililo gizani.:-(

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP