Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WIZI mtupu!-asema MCHARIA!

>> Tuesday, August 09, 2011

WIZI mtupu!

'Tangazo, tangazo, tangazo, Dokta Kalumanzila, mganga maarufu kutoka kulikoungua shoka kwa kabaki mpini, yupo hapa karibu uhudumiwe, anatibu maradhi mbalimbali yakiwemo kisukari, ugonjwa wa moyo, pumu, malaria sugu, kuongeza nguvu za kiume, dawa ya mapenzi, kupata kazi, kupata mume au mke, kumrudisha mke ama mume aliyeikimbia familia, kusafisha nyota na hata kutibu ukimwi.'

Mabango mengi yenye matangazo ya aina hii mara nyingi utayakuta mahali ambapo wakazi wake wengi ni wenye kipato cha chini na cha kati kiasi(walalahoi), ambao ni rahisi kurubuniwa, lakini kule wanakoishi wenye kipato cha juu ni nadra sana kukuta tangazo la aina hii.

Ni rahisi kutapeliwa kwa njia hizo kwa sababu, wengi wa walalahoi fikra ya kwamba wanatapeliwa huwa iko mbali sana mpaka pale watakapotapeliwa kwanza, ndipo huzinduka, ala kumbe! Hawa ni matapeli. Kwa maana nyingine watu hawa hukumbuka kujifunika shuka wakati wa alfajiri. Usicheze na msongo wa mawazo.

UMENISOMA MPAKA PALE!
-MCHARIA


Mtembelee HUKU,...
...kijiweni kwake uongezee HEKIMA.


Hebu Kala Jermiah aanzishe tena upya kwa ndude kimkao huohuo-WIZI mtupu




 Nas , Damian Marley na K'naan wakumbushie WAAFRIKA kuwa - Africa Must Wake Up




Bob Marley arudishe-Lively Up Yourself



Au hebu huyu huyu Bob Marley angilie kati zaidi na kuelimisha katika-Redemption SONG




2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 1:39 pm  

Mawazoni...Dobi Maarufu, Albatan Bin Manof, Kufua Nguo na Kupiga Pasi.

"Leo kapatwa na ajali ya kugongwa na kunguni kitandani mwake".

Hahahaha UJINGA BUSARA.

Simon Kitururu 1:40 pm  

@Rasta Mcharia: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP