Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TATIZO la mtazamo wa MTU hata ule wa KUJIFANYA ANAFIKIRIA mambo MAKUBWA !:-(

>> Saturday, August 06, 2011

Katika wa MTU ule MTAZAMO,....
.....kuna mpaka  labda kuna ule kwenywe kuelekezea jicho tako kuona MATAKO MAKUBWA,...
...... na kwa kuwa kuna mpaka watakao MAKUBWA,...
...... labda  hata kwenye tako kuna wafikiriao inabidi udai yale   makubwa,...
.... na MAKUBWA ni MAKUBWA ukiyasaidia hata kuyapa UKUBWA;....
.....ongawa ukubwa wake unaweza kuwa uko kwako tu na sio KWETU kiufikiriavyo na kiotamu labda ukubwa uko kwenye MATAKO madogo hasa kwakuwa utamu wa matako labda sio tako ila mkundu uhifadhiwao na TAKO.:-(

Swali:
  • Si bado inakumbukwa MAKUBWA kwako, KWANGU, na kwa YULE bado mara kibao LABDA huwa yanajificha kwenye yale tufikiriayo ni madogo?:-(

Ndio,...
....LABDA,...
.....kama unabisha JIULIZE makubwa yazaaayo mpaka MIMBA asili yake ina vyenye UKUBWA gani kiudogo.!

NI wazo  tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu NINA SIMONE arudishe kimuanzisho- TO BE YOUNG GIFTED and BLACK




Kabla MYSTIKAL hajatuliza mshawasha kwa ndude-SHAKE ya ASS




Halafu tu  tu PETER TOSH arudishe kabisaaaa ile....ile kwa-Glass HOUSE




Kabla hajamalizia tu huyuhuyu  Peter Tosh kwa kutupeleka msibani kwa - Burial


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP