Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MGAMBIRE enough!

>> Wednesday, August 17, 2011

Ndio nimesikia ni ushauri wa BAADHI kwa WATANZANIA,...
..... kuhusu wamwambie  nini huyu  SEREKALI ya TANZANIA hasa kwa yaendeleayo TANZANIA sasa hivi  ,...
...  HATA katika kuwezesha WATANZANIA kiuchumi/Ki angalau kuwa na uhakika wa NGUNA, kielimu/KIKUTUMIA AKILI , kiafya , kikujiamini....nk.:-(



Swali:
  • Si ni jambo lililo wazi asilimia kubwa ya WATANZANIA chamoto wanakiona sasa hivi?
  • Na si serikali ni WATU?
Ndio,...
..... kuna waliochoka tayari TANZANIA,...
... mheshimiwa SERIKALI!:-(


NI HILO TU ki-UjingaBUSARA!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!


Hebu Zap Mama ahamishe wazo kwa kurudia-GATI




 Ntombi Marubini aingilie kati kwa-Money is not a problem





Sam Fan Thomas agawe dozi kwa - No,hoa




Au tu Sam Fan Thomas amalizie tu MSHAWASHA kwa ndude-African Typic Collection






6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 8:24 am  

Huenda cha kuwaambia Sirikali KIPO, Lakini UTASIKILIZWA. Labda kipindi cha KAMPENI...Hata hivyo ni hatua gani zichukuliwe, inakuwa kama kile kisa cha `NANI AMFUNGE PAKA KENGELE..'
Mambo magumu mkuu huku bongo usisikie...! Sasa kuna kupanda na kushuka kwa bei ya mafuta, kama presha ya kupanda na kushuka...!

Simon Kitururu 8:43 am  

@M3: Yani wee acha tu !:-(

Yasinta Ngonyani 10:37 am  

Hakika MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU!!

John Mwaipopo 2:51 pm  

simene kwa tanzania siku hizi kila kitu mgao: petroli, umeme,simu hivyhivyo. si ajabu hata haki za mambo yahusuyo/yanayotokea chini ya mkanda (na juu ya mapaja)watu wakaanza kupeana kwa mgao. bongo tambarare. TANZAGIZA OYE!! pengine hivi karibuni hata giza tutapeana kwa mgao.

John Mwaipopo 2:52 pm  

nilitaka kusema 'SIMEONE'. kunradhi

Simon Kitururu 7:22 pm  

@Mtoto Mzuri Yasinta +Papaa John: Tuko Pamoja! Na namnanitafakarisha ile mbaya aisee!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP