Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Lichape TOTO LAKO bwana lisituletee za kuleta!

>> Wednesday, August 17, 2011

Nimekumbuka tu ,...
... kuwa mara ya mwisho nilichapwa nikiwa kidato cha sita Mazengo High School , DODOMA.

Ndio ,...
.... sina uhakika ni kwanini nimefikiria kitu VIBOKO sasa hivi!:-(



Maoni ya MTUZ;







Au tu tugewe mawaidha haya pia,...
....kutoka kwa Jim Burns



Tukiachana na maoni ya hao kwenye kideo:

  • Vipi - hufinyi kweli weye wanao?
  • Na unauhakika kama toto lako haligewi bakora angalau ligawiwe adhabu nyingine ili lisiharibike?

Lete basi stori,...

BAADAYE!


Au tusimuliwe tu na stori hii ...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP