Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa cha leo kuna MTU anafikiria kukifanya KESHO,...

>> Monday, August 15, 2011


Kumbuka yaliyowezekana jana,...
..... yanaweza kutowezekana LEO!

Swali:
  • Ikiwezekana sasa hivi si labda ni busara kufanya sasa hivi?
Ndio,...
.... baadaye haki ya nani tena,...
..... hakuna BINADAMU mwenye uhakika NAYO!:-(


NI HILO TU na ni wazo tu hili MKUU!


Hebu wende marekani kidogo Dead Prez warudie-Malcolm, Garvey & Huey



Tupitie HAITI tena Briganday warudie- 1,2 Pap Padap



Black Coffee aturudishe AFRIKA KUSINI kwa- Gardens Of Eden




Au tu Black Coffee amalizie kwa - Even though





3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:26 pm  

Linalowezekana leo lisingoje kesho, na kila ukitaka kufanya jambo, ni bora useme `mungu akipenda'

Yasinta Ngonyani 2:51 pm  

Mimi naamini hakuna LISILOWEZEKANA hapa duniani.

Simon Kitururu 12:33 am  

@Mkuu M3: Si utani nakubaliana sana tu na ulilosema!

@Nangonyani:Hakuna lisilowezekana lakini labda kuna liwezekanalo jumatatu wakati waliangaikialo wanaliangaikia Alhamisi!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP