Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Greyson Salufu na KIJIWE kipya kiitwacho:``CHIMBUKO LETU´´.

>> Monday, August 08, 2011



Habari wadau wote popote Duniani, Napenda kuwakaribisha katika Libeneke Chimbuko Letu.. Ambapo mtapata taarifa nyingi kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania Bara na visiwani pia Duniani kwa ujumla.. Asanteni sana kwa Kutembelea Chimbuko Letu na Karibuni tena.




MIMI ni kijana kutoka mkoani MBEYA naitwa Greyson Salufu.
Ni mtangazaji na mwandishi wa HABARI.
Natanguliza SHUKRANI ;
...ASANTE SANA!

Kwa PAMOJA,...
...tunaendeleza BURUDANI na HABARI!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:54 pm  

Tupo pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP