Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WANAWAKE WAAFRIKA wa SHOKA kuanzia yule-CHIWONISO , Dudu MANHENGA, LADY JAYDEE, Miriam MAKEBA....!

>> Thursday, August 18, 2011

Hebu CHIWONISO aanzishe kwa kurudia,...
.... Rebel WOMAN.



Mdada Dudu Manhenga ,...
.............aingilie kati kwa - Turn


DUDU  huyuhuyu aendeleze kwa,...



Tudeku  WADADA wa SHOKA wengine pia kistori zao,...



Lura arudishe ki Cape Verde kwa  -Ooh naia



Lady Jay dee adai pia - Siku Hazigandi





Au tu CHIWONISO azime manyanga tena kwa -ANCIENT VOICES



Kabla MIRIAM MAKEBA hajafunza upya unyago kabisaaa kwa ndude-KILIMANJARO



Au tu Miriam Makeba huyuhuyu atuache tu  na ujumbe aliowahi kutupa enzi za  KWA WAAFRIKA ujanja ni kupigania uhuru wa WAAFRIKA  kitu ambacho siku hizi ujanja ni  WAAFRIKA kuiba  katika ofisi ziwezazo kusaidia WAAFRIKA  katika - A Luta Continua




Ndio,...
.... ni nanihino tu hii MHESHIMIWA!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 2:03 am  

Hongera wanawake wa shoka!!!!hivi hakuna wanaume wa shoka?

Simon Kitururu 6:32 pm  

@Rachel:Wanaume wa SHOKA si ndio nasikia wanatawala DUNIA?

Ingawa eti hata BABU wa LOLIONDO ni washoka vilevile!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP