Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MUBELWA BANDIO hepibesidei KAMANDA!

>> Wednesday, August 10, 2011


Kabla sijaanza,...

.... ngojea Nasio Fontaine aongeee nawe katika njia yako AMBAYO najua  LABDA haiko kama asemavyo katika- Rough Road




Ila FIKA utakako kufika Papaa MUBELWA!:-(
 HEPI tarehe ya KUZALIWA MKUU!



Na kimawazo yako unanitekenya sana tu MKUU ingawa kwenye FACEBOOK kuna uliyosema yamaanishayo mie sio RAFIKI kisa siwasiliani kimkao wa UPENDAVYO Ila haki ya NANI tena KIMAWAZO YAKO kwangu hadharani hujambi wazo linalo NUKA!:-(


OK hebu NASIO akuongezee tena kwenye HEPIBESIDEI  Rasta T. BANDIO  kwa embe dodo la -Apple




Au nikuhamishe tu kwenye mikao uipendayo ya ROOTS Reggae na kukupeleka KAMERUNI kwa Richard BONA ili abadili kidogo ili tuwe na mudi sawa kwa-Te Misea




Au akupanulie MUBELWA kwa pia -Engingilaye


ANEWEI ungecheza anga zangu LEO ningekupeleka mpaka kwa RICHARD BONA kama zawadi ya KIHEPI BETHDEI yako leo!

HEPI BESIDEI  tena RASTA!:-(




PS:
Naumenikumbusha kitu katika ujumbe wako ambao KATIKA BAADHI una maneno,....

.......katika maisha yetu na katika kila jambo tutendalo, "kuna anayetuona kwa mara ya kwanza na / ama mara ya mwisho" na swali ni kuwa TUNAMUACHA NA TASWIRA GANI KUHUSU SISI NA MAISHA YETU?

Unapendwa, Unakumbukwa na UNAOMBEWA MEMA!

ASANTE KWA KUWA ULIVYO
       Na ningependa hilo neno na liwe kwako pia!


Samahani  wengine,...
......HUYU  MZEEE wa CHANGAMOTO  anapatikana huku;...
Lakini sijui kwanini ila labda hebu RICHARD BONA aongezee tu ,...




Au aweke tu na -Laka M'ba





Halafu tu kabla hatujamalizia pati Gerald Toto, Richard Bona na Lokua Kanza
waanzishe upya,...kwa-LISANGA



Au tumalizie sherehe ya tarehe ya MUBELWA T. BANDIO  kuzaliwa tena kwa Gerald Toto, Richard Bona na Lokua Kanza kudinya tu tena zaidi,...

...bila kusahau Etienne Stadwijk alikua anachezea (kiibodi), Patrick Goraguer (alikuwa anacheza vyombo kadhaa )na Ernesto Simpson (alikuwa kwenye NGOMA ).....





1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:40 am  

Hongera kwa siku ya kuzaliwa kaka Mubelwa Dandio!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP