Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA kuna DONDOO tofautitofauti hata kwenye UCHI uleule!:-(

>> Wednesday, August 17, 2011

Na DONDOO tofauti azipatazo MTU yuleyule katika KITU KILEKILE,...

..... labda  ni kwa sababu ,...
....WATU ni TOFAUTI na sio kila MTU anapenda hata KISAMVU kilekile!:-(

Swali:
  • Si inasemekana hata kama kila mtu anakisikilizia utamu chenye jina LILELILE labda ashiki husikilizwa kivingine  na utamu wa embe dodo lilelile labda kwa watu WAWILI tofauti ladha ni mbili TOFAUTI?
  • Unabisha?
  • Si unakumbuka wewe ni tofauti?
Ndio,...
....kitumbua kilekile labda kina utamu tofauti kwa watu wengine,...
.... ndio maana LABDA kuna wapendao MAANDAZI au tu sie ambao hata kiporo cha makande kwa chai ni bonge la BREKIFASTI!:-(

Swali:
  • SI unajua kuanzia dondoo mpaka HABARI nzima ileile labda tuifikiriavyo siye wengine sio ki-WEWE?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu ghafla DONNA SUMMER aingilie kati katika -On the RADIO



DONNA SUMMER amwage PIA shahawa ile yenye mbegu ya -I FEEL LOVE



Au MHESHIMIWA msenge SYLVESTER awakilishe pia katika ndude maarufu ambayo imedumu kwa kuwa wako watu wengi wakirio inawatekenya mpaka enzi hizi ile-You make me feel



3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:29 pm  

Ni bonge la wazo...kwani ni kweli kabisa hapa duniani kila kitu ni tofauti ....ila duh..kazi kwelikweli!!

Mzee wa Changamoto 1:49 am  

Toba. Hata mwezi mtukufu?
Duh

Simon Kitururu 1:50 am  

@Dada YASINTA: ...ila DUH!
@Rasta Mubelwa: Kwani ni mwezi gani sio MTUKUFU?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP