Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

``Sijui,... na..... LAKINI!´´,......

>> Tuesday, August 02, 2011

.......kama VIKO kwenye sentensi MOJA,....
.... labda kuna dalili kuwa hata KUTOKUJUA kwa aanzaye kusema HAJUI huku mawazoni mwake anakimfanyacho awe na neno ``LAKINI´´,....
....... kuna KAKUJUA fulani kamfanyako kinamna anaegemea UPANDE fulani na ndio maana katika kudai kwake hata katika sentensi,....
....ya kwa mfano ``Sijui kama BINTI Khalifani kweli tako lake ni la MCHINA´´ bado ataongezea ``... lakini limekaa kimchinamchina kama la Binti ZUBEDA mwana Mzee KIPARA jirani yanguambaye tako limekuwa ghafla wakati tukijua anatumia dawa za mchina!


Swali:
  • Ndio labda HATUJUI,.... lakini,.... hivi si unajua BONGO wanyonge ndio WALIWAO?
  • Ndio labda hatujui,.... LAKINI si umestukia kuna wajanja OFISI fulani hata kama zasemekana ni NGUMU tunastukia hawataki kutoka humo ofisini ili na damu mpya iingie?

Sijui,....
..... LAKINI!:-(

Na ni wazo tu hili MKUU!:-(





Hebu ghafla turudi CUBA ili Mongo Santamaria arudishe - MAMBO MONGO




Mongo Santamaria akiwa na Ray Barretto waongezee spidi TENA nanihii kwa - Congo Bongo




Mongo Santamaria aipunguzishe spidi kidogo kwa - Mambo Leah


Mongo Santamaria aanzishe kwa ari mpya na nguvu mpya kwa - Hitchcock Railway


Au tu huyu Ramón "Mongo" Santamaría Rodríguez amalizie tu mdinyo kwa -Smooth Operator


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP