Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

EID MUBARAK kwenu WOTE! Inshaallah kuleni EID MWANANA waislamu WOTE!

>> Tuesday, August 30, 2011



Awatakieni KHERI,...
.... ni mie SIMON KITURURU.

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:45 pm  

EID MUBARAKA kwa watu wote....Naomba niulize swali:- Hivi Siwezi kusema Eid mubaraka kwa wote? Ni lazima niseme Eid mubaraka kwa waislamu wote? Je mimi kama mkristo siruhusiwi kusherehekea?

Simon Kitururu 2:53 pm  

@Yasinta: Nafikiri unaruhusiwa kuwapa Mkono wa IDDI watu wote! Ila kwangu naamini siku hii inamaana zaidi kwa WAISLAMU hasa wale waliofunga!


Mie kwa mfano nasheherehekea siku yoyote ile nikijisikia kusherehekea na nakama na ngawira pesa za kugharimia sherehe nayo amua tu siku hiyo hata ikiwa ni kwamba nimemisi tu ugali wa muhogo.:-(

Yasinta Ngonyani 3:12 pm  

Ahsante kwa jibu...maana lilikuwa linanitatanisha kwani mara nyingi nimeona waislamu wengi husherehekea X-mas au sijui naota?
Basi ngoja niseme tena EID MUBARAKA KWA WOTE WOTE WA DUNIA HII KARIMA /MOLA mWENYEZI mUNGU AWE NANYI NA UPENDO WAKE UTAWALE NDANI YENU!!

Unknown 6:20 pm  

Wanakula IDD au...sijaelewa.

Simon Kitururu 8:26 am  

@Rasta Mcharia: Ni lugha tu Mkuu! Nikiwa namaana washerehekee!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP