Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

JANA nilikuwa NAJIAMINI lakini leo -not so much!

>> Friday, August 12, 2011

LEO najiamini ,....
.... lakini JANA -not so much!:-(


Swali:
  • Si kuna uwezekano kunawatakaoanza kujiamini kesho?

Ndio,...
.....MAISHANI,...
......kuna JANA, leo na KESHO,....
... na inawezekana hata katika KIGEZO cha KUJIAMINI ,...
.... tukiachilia ule uwezekano  kuwa kuna BAADHI YETU  kwa kawaida hujiamini zaidi  choooni kuliko sebuleni kila siku ya maisha yao,....
......labda ni KAWAIDA kwa hata UHAKIKA na KUJIAMINI KWA MTU pia hata katika tuyaaminio ni sahihi,.....


....JANA ,leo na KESHO,....
.....KUNATOFAUTI sio katika tu jinsi mjanja anavyojamiiana ambacho ni kitu ANACHOJUA ,...
....ila ni  mpaka na jinsi anavyo JIAMINI katika ASIYOJUA kwa uhakika!:-(


Swali:
  • Unafikiri UNAJIAMINI leo,... 
.....hata kama hatuongelei kujiamini kwa mtu kukaa uchi hadharani angalau kimawazo?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Jimmy Cliff arudishe busara zaidi katika -MANY RIVERS to CROSS


Jimmy Cliff adai-I can see clearly now




Au DIANA KING alainishe mshawasha kwa-SHY GUY



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP