Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

ZAIDI ya nusu ya yale BINADAMU aliyowahi kuyaona,...

>> Tuesday, August 09, 2011

.... labda HAYO aliyowahi kuyaona  hajawahi kumsimulia MTU!

Swali:
  • SI asilimia kubwa hata ya yale MTU aliyoyaona leo labda kashayasahau?
  • Unakumbuka STORI au MAJINA ya sinema ngapi kwani ulizowahiziona hata kama ukichukua peni na karatasi kimsaada wa kumbukumbu?
  • Si labda BINADAMU wasingekuwa wepesi kusahau labda kungekuwa hakuna vita DUNIANI?
  • Hivi BINADAMU angekuwa hasahau si kungekuwa na vita kila mahali kisa kuna wataka kulipiza visasi?


Ndio,...
..... umeona MENGI Mheshimiwa tokea uzaliwe,...
..... ingawa labda mengi yake hukumbuki na pia labda huta wahi katika maisha haya kumsimulia MTU!:-(





Nawaza tu MHESHIMIWA ki-UjingaBUSARA!:-(



Hebu Mbaraka Mwinshehe arudishe busara kwa-Ugeni Tabu



Au tu Salum Abdullah aturudishe Morogoro kwa- Chacha





3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:46 pm  

Kama binadamu angekuwa hasau, mbona computa ya ubongo ingeblow....just imagine tumeona mangapi...halfuu yote yajazane kwenye oblangata, or sijui medula...au naitwa nini vile?
MKUU TUPO PAMOJA

Unknown 3:04 pm  

Kusahau ya tangu udogoni...hivi kichwa kina GB (jigabaiti) ngapi???

Yasinta Ngonyani 3:55 pm  

kusahau:- husahauliwa yale maovu na hasa aliyetenda. Ila mtendewa hasahau... Nimependa kibao hicho cha kuseama ugenini tabu kwani tayari natamani nyumbani tena:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP