Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SHENZI ulalahoi!

>> Tuesday, August 09, 2011

Na ukilalahoi,...
.....yasemekana kunawatakao KUKIMBIA!

Na kati ya FISADI na MLALAHOI,...
.....usishangae alalayehoi akikimbiwa!

Ingawa usishangae kuwa labda ni TAFSIRI ya aina ya KIPIMO tu ndio inafanya kuna WAITWAO walalahoi,...
.... kwa kuwa labda hao ndio NGUVU ,...
.....na hao ndio WENYE NAVYO ,....
.....kitu ambacho chawezageuza na kufanya wale MAFISADI ndio wakimbia.

Swali:
  • SI kama NCHI ni ya WALALAHOI siku walalahoi wakiamua kuchukua chao atakaye jikuta mkimbizi ni yule FISADI mnyonya walalahoi?


Ndio,...
.... shenzi ULALAHOI,...
.... na kama unakimbia WALALAHOI  kumbuka tu wakistuka labda hao ndio WAKUKIMBILIWA!:-(


Ni wazo tu hili MKUU!:-(

Hebu MSHAIRI Linton Kwesi Johnson atukumbushe wakimbiliao upande wa mafisadi WENYE NGUVU na kuacha walalahoi katika shairi - Di Black Petty Booshwah






Linton Kwesi Johnson akumbushie - Wat About Di Working Class



Linton Kwesi Johnson aendelee kwa - Making History




Linton Kwesi Johnson asiruke kuwa - It Noh Funny




Linton Kwesi Johnson amwage pia - Fite Dem Back




Au tukumbuke vurugu HII London jumamosi iliyopita ,...
.....kwa ngoma hii katika tukio kama la juzi  hilo  kwa Linton Kwesi Johnson katika- The Great Insurrection


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:53 am  

Duh! Kaka Simon hicho kichwa cha habari...inaonyesha jinsi nilivyopotea kwa muda wa miaka miwili.... Samahani kutoka nje ya mada:-)

Unknown 4:06 pm  

WIZI mtupu!

'Tangazo, tangazo, tangazo, Dokta Kalumanzila, mganga maarufu kutoka kulikoungua shoka kwa kabaki mpini, yupo hapa karibu uhudumiwe, anatibu maradhi mbalimbali yakiwemo kisukari, ugonjwa wa moyo, pumu, malaria sugu, kuongeza nguvu za kiume, dawa ya mapenzi, kupata kazi, kupata mume au mke, kumrudisha mke ama mume aliyeikimbia familia, kusafisha nyota na hata kutibu ukimwi.'

Mabango mengi yenye matangazo ya aina hii mara nyingi utayakuta mahali ambapo wakazi wake wengi ni wenye kipato cha chini na cha kati kiasi(walalahoi), ambao ni rahisi kurubuniwa, lakini kule wanakoishi wenye kipato cha juu ni nadra sana kukuta tangazo la aina hii.

Ni rahisi kutapeliwa kwa njia hizo kwa sababu, wengi wa walalahoi fikra ya kwamba wanatapeliwa huwa iko mbali sana mpaka pale watakapotapeliwa kwanza, ndipo huzinduka, ala kumbe! Hawa ni matapeli. Kwa maana nyingine watu hawa hukumbuka kujifunika shuka wakati wa alfajiri. Usicheze na msongo wa mawazo.

UMENISOMA MPAKA PALE.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP