Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

OFA YA NANE NANE NA RAMADHANI KUTOKA TONE INTERNET RADIO KWA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA

>> Monday, August 01, 2011





Ni msimu wa Nane nane na Mfungo wa Ramadhani.. Tone Internet Radio inawaletea ofa Maalum kwa makampuni yote Yaliyopo Tanzania kutangaza Biashara zenu Bure kabisa kwa muda wa Mwezi mzima. Matangazo yawe ya aina mbili aina ya Picha yani Jpg na matangazo ya sauti, ofa hii maalum itakwenda mpaka tarehe 29.08.2011, wahi sasa nafasi ni yako. Tutumie Tangazo kupitia toneinternetradio@yahoo.com

Kusikiliza Live Bofya hapa: TONE INTERNET RADIO

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP