Bado nipo hapa AMSTERDAM, Uholanzi MDAU!
>> Tuesday, August 23, 2011
Kama  upo HAPA,....
.....nistue hata kwa e-mail: skitururu@gmail.com.
Tunaweza kukutana kubadilishana  mawili matatu MKUU!
Nipo mpaka ijumaa kwenye hoteli:
Tulip Inn Amsterdam Centre
Beursstraat 11-19
1012 JT  AMSTERDAM
BAADA ya hapo nitakuwa nje kidogo ya AMSTERDAM,...
.... kwa hiyo kama uko mjini,...
..... nipo mjini kabisa MKUU.
Habari ndio HIYO,...
...TUWASILIANE basi!
SIKU NJEMA basi MKUU!
Hebu  Esperanza Spalding  aanzishe upya  na kubadili korokocho kwa- I Can't Help it
Au tu Esperanza Spalding adinye pia - I Know You Know / Smile Like That
 



4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ahsante kwa taarifa...uwe na wakati mzuri huko Uholanzi....
@Mtoto mzuri Yasinta: Unajua nilidhani unajua niko pande hii yani!Nipo lakini! NJOO BASI tangalie uwezekano!:-(
mmmhh:-(
@Kigoli Yasinta: Mmmh!
Post a Comment