Fanya UNACHOWEZA MKUU,....
>> Thursday, August 04, 2011
 ..... usiyoyaweza  achana NAYO kwa kuwa hakuna awezaye yote!
Swali:
- Ukifanya uliyoyaweza si lakini umejaribu MKUU?
 - Na kuridhika na uyawezayo si ni TABIA nzuri tu MKUU!
 
Ndio ,...
.... kwa bahati mbaya nasikia KURIDHIKA ni mchezo MGUMU,...
.... ila tatizo kubwa zaidi yasemekana ni kuwa MTU usipojifunza kuridhika na uyawezayo,...
.... kinachofuatia ni KUJIUMIZA tu MWILI na ROHO!:-(Ni wazo tu hili MKUU!
SIKU NJEMA!Hebu Pepe Kalle aanzishe upya kwa- Don't Cry Dube 
Avuuuuu..... katika-Vuta pole pole KARIBU
Aendeleze kwa -Soso Ya Tongo 
Papi Tex aingizie- Mabele Riche
Pepe Kalle aje tena  na Nyboma bila kumsahau  Dally kimoko  katika - Nina
Arudishe-LA RUMBA
Halafu   adinye - Moyibi 
Kabla hajatukumbusha yaliyompata ARUSHA katika-HIDAYA
 



4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mkuu ujumbe wa leo umefika mahala pake, kwani `ukiiga tembo akinya utafanya nini vile....hivyohivyo!
Tupo pamoja mkuu
Umenena yote umemaliza...jikune unapofikia bwana...alah!:-)
kaka wa mimi leo umewaza!!!tena utajinyanyasa mwenyewe na kutafuta magonjwa bure!!!!
Tamaa haifai...
Post a Comment