MAUMIVU ya NANILII,...
>> Saturday, August 20, 2011
.....MATUMAINI ya NANIHII,...
.... na FARAJA ziletwazo na NANIHII,...
... ..labda  ni vitu  vyenye UHUSIANO.
Kwahiyo,...
.... labda usilaumu KITU KIKUUMIZACHO,...
... kwa kuwa labda ndicho kijengacho MATUMAINI yako katika MAISHA YAKO ni nini,...
.... kitu kisababishacho unastukia UKIFARIJIKA  kwa kuwa vikuumizavyo vimedadavua ustukiaji wako wa FARAJA zako  hata kama kikufarijicho ni UKOKO tu wa UBWABWA au kuchekewa  na kinuka mkojo!:-(
Swali:
- AU?
 
Ndio,...
.... labda jaribu kutafakari ,...
... waweza kustukia uhusiano wa MAUMIVU yako na kikusikilizacho utamu KIFARAJA baada ya kukitumainia halafu kikajilenga kwenye anga zako HALAFU ukakidadavua.:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumamosi NJEMA!
Hebu moja kwa moja  Ledisi aanzishe upya na kututoa kwenye hilo wazo hapo juu  kwa- Pieces Of Me 
Brian McKnight aongezee dozi kwa - Anytime 
Babyface azungumzie - Whip Appeal 
 Sanchez abadili kabisaaa mchezo huku akiwasakama wasenge kwa -Frenzy 
Kabla  Ziggy Marley hajamalizia ndude  kwa  -True to Myself 
 



2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Maumimivu....si utani:-(
@Kapulya: Maumivu yanauma na yanaweza kuanzishwa na utani!:-(
Post a Comment