Frank Humplick ni mwanamuziki ambaye pamoja na kuwa alipiga nyimbo zake miaka ya 50 , bado nyimbo zake zinapendwa hadi leo. Wangapi hawaujui wimbo kama Embe dodo imelala mchangani,?
......kisa neno ndio lilizalisha KITENDO cha hiari!
Swali:
Kwani ni nani KIVITENDO ambaye HATASHITAKI UMEKARIBIAKUBAKA au kwa kuguswa atanyegeleshwa?
Na kuna wenye mtazamo huo wa kudharau NENO ,...
... kisa wanadai wanajua tamutamu mpaka za MIMBA zina vitendo,...
....ingawa kwa VITENDO bado kuna MANENO yalionyegelesha FUNDI akawa FUNDI kivitendo hata kama wakati huo neno la MWALIMU lilikuwa SHENZI!:-(
Swali:
Si yasemekana kuna wadaio WAVIVU ni wavivu wa VITENDO kama vite hakuna wazembeao kivivu kwa MANENO hata kama neno lenyewe ni la MUNGU liokoalo au tu lile likemealo maovu ambalo lategemewa kutoka kwa wadaiwao ni watu wazuri hata kama si wazuri kikutongozwa?
Ndio,...
.... hapo MWANZo kabla ya KITENDO,...
.... labda kulikuwa na NENO,...
... nalo neno hata kipumbavu ,...
.... yawezekana ndio siri ya MIMBA ya KITENDO!:-(
NI wazo tu hili BINGWA!
Hebu Daniel Beaty amwage NENO katika - Knock Knock
Shihan arudie NENO katika - Sick and Tired
Black ICE aongelee NENO katika neno kwenye-Bigger Than Mine
Mutabaruka akatizie denge kwa - Dis Poem
Mutabaruka aongezee dozi kwa - Any which way... FREEDOM
... labda huyo anajua tayari KITU,... ... na katika hicho KITU anajua kuwa kuna MBIVU na mbichi kimtekenyo,..
... na KWA HILO labda wala sio siri HUYO anajua mpaka kuna KUTOMASA katika mbinu ya kujua ni ipi IMEIVA kwa kuwa hiyo itabonyezeka kititi!:-(
Swali:
SI unajua AJISIKIAYE ni mwenye tatizo kwa kuwa HANA sabuni katika KUFUA huyo anajua tayari kuna kitu huitwa SABUNI na HIYO inawezesha kirahisi kuondoa uchafu kwenye nguo kama isaidiavyo tu baadhi ya vidume kujichua ili kuondoa maungoni kitu?
Ndio,...
.... labda usilolijua ,...
....HILO sio tatizo lako !:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu BUJU BANTON aingilie kati kwa kudai-Make My Day
Au tu huyuhuyu Buju Banton ajaribu kuzima manyanga kwa - Wanna Be Loved
Au turudi tu TANZANIA ili NGWAIR afunge breki na kuamishia wazo kwenye -MIKASI
Na haki ya nani kama sasa hivi wewe ni BABU KUBWA,...
.... kuna wadaio KUBALI kuhesabu tu muda ,...
.... kwa kuwa umzarauye na uyazarauyo huweza kuwa ndio kifasheni yana tako KUBWA hata kifasheni za mbilimbi!:-(
Swali:
Kwani hukumbuki wapendayo watu KIJUUJUU kama lebo ya CHUPI kwa kuwa ni GUCCI pendo lao ni kijuujuuu?
SI unakumbuka kuwa hata kwa wapendao TTII KUBWA na TITI DOGO kwa wapendao watu kijuujuu ni zamuzamu na litapendwa lililo kwenye fasheni hata kama HOTELI YA MTOTO sio saa sita?
Ndio,...
... kipengele kitamu sasa hivi KIFASHENI kwa kuongezewa SUKARI,...
... baadaye hichohicho ni kwa nyanya , kitunguu , chumvi na PILIPILI inaweza kuwa ndio siri ya wajanja walewale KUDAI WANANOGEWA na ni wale waliokuwa wanakisifia kisukari TU ndio siri ya TAMUKUNOGA ya hicho KIDUDE!:-(
Ni wazo tu hili MKUU!:-(
Hebu Amy Winehouse akatizie denge na kunisemea - You Know I'm No Good
Sting aingilie kati kwa - FRAGILE
STING ajaribbu kuzima kwa-Englishman In New York
Au tu Shinehead ndio azime kwa -Jamaican in New York
Mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Maneno Osward (Mtambo wa Gongo)wakitunishiana misuli walipokutana, Dar es salaam leo kukumbushwa sheria mbalimbali zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika jumamosi hii .
Katikati ni Katibu, wa Chama cha mchezo wa ngumi kinachosimamia mpambano huo. PST. Anton Lutta.
... kisa ni mpenda MCHICHA na wakati huo yuko kwa Wazee wa KITIMOTO.:-(
Swali:
Si unajua kila mtu katika apendacho -NI ukorofi KIKUKOROKOCHOA kabisa kitu fulani kwa mtu fulani MWINGINE ?
Na si kama unapendwa na MAMA yako labda huo ni ushahidi wapendayo apendayo MAMA YAKO wanakupenda pia na kwa kuwa wao sio MAMA YAKO labda ni ruksa wakupendavyo uchi kiutuuzima?
Ndio LABDA unapendwa,...
... na kama hujiamini halafu unang'anga'ania au tu uko kwa wasiohusudu yako,...
.... unaweza kuamini pia kuwa YAKO HAYALIPI na HUPENDWI,...
... kitu ambacho huweza kuwa ni ``SHAURI ZAKO aisee!´´:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA,...
.......unayependwa na usiostukia PENDO LAO!:-(
Hebu Dj Nkoh aanzishe upya kwa kupindisha kwa- Zulu Love Letter
Dj Nkoh ajaribu kuongezea pia ujazo kwa - Kabishi
Au tu Yvonne Chaka Chaka abadili zaidi tena kwa - Thank You Mr DJ
.... kama tu ilivyokuwa si kila avaaye joho la KIPADRE ni PADRE,...
.... kwa kuwa kama ilivyo UKICHAA ni utovu wa akili KIKICHWA kwa wafikiriao KICHAA HATUMII AKILI ambayo HATA ILE inamsaidiayo kuweka KIFICHA NYETI KICHWANI ,...
....labda hata UPADRE uko moyoni na sio kwa JOHO LIKO WAPI kwa aliyevaa joho hata KIASKOFU,...
.... wakati huyo BADO,...
......hasa kwa kuwa kuna uwezekano JOHO lake ,...
... ni KWA KUWA ni kirahisisha kutembea bila CHUPI kiheshima kwake!:-(
Swali:
Si unajua UGALI labda ni jina tu na ndio maana unga wa MIHOGO mpaka mahindi moja ya tengenezo LAO tofauti kutokana na MALIGHAFI tofauti vyote huitwa UGALI?
Unafikiri UNGA wa MUHOGO na UNGA wa MAHINDI vyote hutengeneza UGALI au tumekosa MAJINA?
Ndio,...
...... kuna tabia yakutoita SEPETO ni SEPETO katika jamii,...
... nawa kati SEPETO inaitwa SEPETO kutoangalia undani wake kama idhaniwavyo kichaa ni KICHAA,...
.... kitu kiwezachofanya UMALAYA na roho nzuri KIUGAWAJI kuwa ni kitu kilekile KWA MTU kisa kwa agawiwaye na malaya mwenye roho mbaya,...
.... bado MALAYA huyo kwa kugawa ana roho nzuri kwa apimaye ROHO NZURI kwa UGAWAJI wa VIKATALIWAVYO NA WENYENAVYO hata kama safarihii KIPIMO cha roho nzuri ya yenye kipimo KUGAWIWA inapimwa kwa kipimo cha spidi ya kupanuliwa ZAWADI ile ya LAWALAWA nyama!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu JUDY BOUCHER aanzishe kwa -That Night We Met
Judy Boucher aongezee dozi kwa - Can't Be With You Tonight
Halafu siju kwanini ila turudi KENYA ili ghafla Eric Wainaina tena abadili kwa -Dunia Ina Mambo
Halafu hapahapa KENYA yule Chizi na Eric Wainaina wazime manyanga kwa - Wacha Waseme
....bado labda KUNA KAUKWELI kuwa urafiki ukirahisishwa,...
....waweza kukuta AJINYEAYE mwenye kuhitaji KUCHAMBWA huyo hana rafiki hata kwenye MARAFIKI!:-(
Swali:
Si unajua URAFIKI ni noma kwa kuwa rafiki ya mtu LABDA ushahidi NI kitu na kitu chenyewe inaweza kuwa ni kuficha siri ya kikojozi KWA KUWA NI RAFIKI kwa wachukiao vikojozi?
Ndio ,...
... haki ya nani tena kuna wasahauo MARAFIKI kwa kuwa ,...
... kuna wanaowafikiria ni MARAFIKI ambao vikibumbuluka hao ni fulu kukimbia MTU kiadui au tu ki -SIKUJUI WEYE!:-(
Ni wazo tu hili hata kama lina KIBIONGO!:-(
Hebu Harry Kimani aanzishe kwa -Haiya
Harry Kimani aongezee kinu - Man From the Ghetto
AU Bob Marley na GURU wajaribu kubadili mchezo kwa -John was
Au BOB MARLEY azime tu mkuno kwa-Stiff necked fools
Ndio ,..
... yasemekana kwenye SIKUKUU labda kila msichana ni MREMBO,...
.... sababu KUU ni kwa kuwa KASHAJIREMBA,...
...... hasa kwa kuwa yasemekana SURA YAKE sio uionayo ,...
.... kwa kuwa SURA yake KIKWELI iko chini ya VIPODOZI!:-(
Swali:
Si hapa unajua nimeruka MORANI wa KIMASAI?
Si bado nasikia kwa MIDUME lukuki MWANAMKE MZURI ni SURA NZURI TU ile yenye kushikiliwa na BONGE la KICHWA kwenye mwili wenye KIFUA chakutosha kimatiti , tako ujazo wakutosha na bila kusahau bonge la usafiri kimiguu yenye paja mwanana- NA wala uzuri sio TABIA?
Na siri ya kujua sura halisi ya WAREMBO wa siku hizi ambao ni fulu kujipodoa,...
....KUNAWASHAHURIO mchungulie KIMWANA asubuhi akiamka tu wakati bado ananuka mdomo kwa kuwa bado hajaenda maliwatoni kujipodoa hata ndani ya MDOMO !:-(
Swali:
Hivi si nasikia yasemekana kuna VIMWANA wazuri ambao kujipodoa ndiko kwawafanya waonekane vituko?
Samahani ni UCHOKOZI tu HUU Mwayego,...
... na wala usikonde kama unajipodoa kwa kuwa ,...
... urembo U-jichoni mwa MTU na kama unafikiria kwa kujiremba kwa KUNYOA NYUSI za juu na CHINI au hata kwa KUJICHUBUA unapendeza,...
.... basi wewe unapendeza KIGOLI kwa kuwa MAISHA ni YAKO na JICHO ni lako wengine kama akina Simon Kitururu kwa kimbelembele chao wakidai umekaa ki sura FANTA -mwili COCACOLA yako hayawahusu na WAKUKOME kabisaa na kimbelembele chao!
Msuto kidogo kwa akereketwaye na kujiremba kwa mwingine :
LOH! Yani watuwengine bwana ,pilipili iko shamba kibarazani kwa shoga sijui yawawashia nini?
NIMEACHA taralila hii ILIYOPINDA!
Moja kwa moja hebu tuangalie mwanadada KOKO ,...
...akitoa moja ya siri katika KUJIPODOA SURA kwa AKINADADA katika kusaidiao hata waopoao demu DISCO KISA ANA SURA NZURI ,...
...nini KILIFANYA asubuhi hawana uhakika kuwa kigoli aliyepo kitandani ni yuleyule aliyeopolewa KLABU usiku kwa ajili ya dhambi ya chapuchapu ya ZINAA ,....
...katika :Foundation Tut/Review: feat Mac Match Master Foundation
Vijana hawa wakiwa Bara barani wakimzungusha huyu Mnyama aina ya Paka, kwa akili zao wakiamini wamemshika mchawi na wameamua kumsulubisha.
Vitendo hivi vya kikatili kwa wanyama vimekuwa vikiendelea mara kwa mara hasa katika maeneo ambayo yana mrundikano wa makazi ya watu, na hata vingine vikionyeshwa kwenye luninga zetu lakini wahusika wa haki za wanyama wakivitazama tu vikiendelea bila kuvikemea wala kuwachukulia hatua wale wote wanaoshiriki kufanya vitendo hivi.
Kwa mataifa ya wenzetu ni lazima upate hukumu ya kifungo kwa kufanya vitendo hivi.
KAPINGAZ Blog inawaomba wahusika waweze kutimiza majukumu yao na ikiwezekana wawachukulie hatua hawa wote wanaoshiriki kufanya vitendo hivi.
.... kama tu kurushwa kichurachura kukiitwa ni MAZOEZI,....
.... kuna wayazoeayo kwa JINA JINGINE!
Swali:
SI MATESO ili yasikiliziwe kimateso inabidi ATESWAYE ayatambue kwanza kuwa afanyiwacho ni KUTESWA?
SI kushinda na NJAA kukiitwa ni KUFUNGA kuna wafarijikao kirahisi kwa kujitakia wenyewe kutokula ?
Ndio,...
.... hata ugumu wa KITU ,...
.... ukipewa maana tofauti hata kama jina ni lilelile kuna wafarijikao na MAANA ya magumu kwa kuamini mchango wa hayo kwenye MAANA YA MAISHA yao kitu ambacho huweza kufanya watu wajiingize kwenye MAGUMU hata kwa kupenda wenyewe!
NI wazo tu hili tena dhaifu MKUU!
Hebu KIDUM aanzishe upya kwa-MAPENZI
Chiddy Bang wabadili kwa - Opposite Of Adults
Chiddy Bang waongezee - Dream Chasin'
Au tu Mad Lion aharibu tena kwa kuihamisha tena kwa - Take it Easy
Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla (kulia) wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Mabara (UBO) Dar es Salaam , utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao .
Mh. Balozi katika picha ya pamoja na Mhariri Mkuu wa habari wa MO BLOG Jennifer Sumi baada ya mahojiano maalum kuhusiana na ziara ya Waziri Mkuu nchini Brazil
Balozi Luz akifafanua jambo wakati wa mahojiano na MO BLOG.
Pichani ni Balozi wa Brazil nchini Mh. Francisco Luz.
Balozi Luz katika mahojiano na MO BLOG ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Na.Mwandishi wetu
Balozi wa Brazil nchini Tanzania Bw. Fransisco Luz amesema, Serikali ya Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi kwa upana wake ila inahitajika kufanya kazi ya ziada kuhakikisha inatengeneza nafasi nyingi za rasilimali watu ambalo ndilo tatizo kubwa linalopelekea nchi kuyumba kiuchumi na wananchi wake wengi kuendelea kuwa maskini.
Balozi Huyo aliyasema hayo katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye ofisi za Balozi huyo zilizopo maeneo ya Oysterbay jijini Dar es salaam na Timu ya Moblog, wakati mwandishi wa habari hii alipotaka kufahamu maandalizi ya ziara ya kikazi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda , anayetarajiwa kufanya ziara ya siku SITA Nchini BRAZIL kuanzia mwanzoni mwa Mwezi ujao.
Balozi LUZ alisema, Kutokana na nchi ya Tanzania kuwa na Rasilimali nyingi akitolea mfano GESI ya ASILI,Makaa ya Mawe na Mafuta ambayo yako katika mchakato wa kutafutwa kupitia kampuni kutoka nchini Brazil, katika maeneo ya bahari ya hindi, Tanzania itaweza kufanikiwa kwa kiwango cha juu katika kukuza uchumi wake pamoja na kuwawezesha wakulima wadogo wadogo ambao ndiyo wainua uchumi wa nchi.
Amesema, Nchi nyingi zilizoendelea hivi karibuni zmeionyesha nia ya kuja kuwekeza nchini Tanzania kutokana na ukweli kuwa kuna nafasi nyingi za kufanya hivyo katika maeneo ya Nishati, lakini kinachokwamisha ni suala la NISHATI na Miundo mbinu ambalo limekuwa ndiyo changamoto kubwa katika kuwezesha hilo na limeendelea kukua siku hadi siku.
Aidha Balozi LUZ akizungumzia nchi yake ya Brazil ambayo awali ilikuwa ikikabiliwa na tatizo la kiuchumi na sasa kuibuka kuwa Taifa linaloibukia kiuchumi pamoja na nchi za BRICS,Alisema kuwa, Awali kila kitu kilikuwa mikononi mwa serikali na hivyo kusababisha mambo mengi kutoenda sawa lakini baadaye wapenda maendeleo walikaa na kuamua kuweka mpango uliwezesha kuwainua watu wa daraja la kati ambao ni wengi kwa kuwapatia msaada wa pesa na kuwasaidia familia maskini .
Akizungumzia suala la Rasilimali watu, aliishauri Serikali kuanzisha vyuo AU Kushirikiana na vyuo vikuu vitakavyotoa elimu ya juu katika kuwezesha kutoa wahitimu wenye sifa za kufanya kazi katika sekta za Nishati akitolea mfano shughuli itakayohitaji wahandisi wengi wa uchimbaji mafuta katika kipindi kijacho.
Kuhusu Safari ya Mheshimiwa waziri Mkuu,Balozi LUZ amesema, Katika ziara hiyo mheshimiwa waziri anatarajiwa kutembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia na yatakayoleta tija kwa nchi ya Tanzania, zikiwemo sekta za kilimo kwasababu kilimo Kwanza ndiyo kipaumbele cha nchi, pia atatembelea maeneo ya mifugo, Miundombinu pamoja na miradi ya mbalimbali ya maendeleo nchini humo sambamba na kukutana na wafanyabishara wenye nia ya kuwekeza Tanzania na muungano wa vyama mbalimbali.
Sambamba na hilo balozi huyo wa Brazil amesema, Waziri Mkuu pia katika ziara hiyo atakutana na Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi ya Brazil pamoja na mawaziri wengine.
Katika ziara hiyo Waziri Mkuu PINDA , ataongozana na msafara wa Viongozi kadhaa kutoka hapa nchini Akiwemo waziri wa Nishati na Madini Bw.William Ngeleja, Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu uwekezaji na uwezeshaji Dr. Mary Nagu pamoja na viongozi wengine wa juu wa serikali .
.... ni ile HALI ya kutufanya tusiinjoi ya LEO kwa UKAMILIFU,...
.....KISA,...
....tunatumainia ya KESHO yatakuwa BOMBA zaidi!:-(
Swali:
Si labda ya LEO yangekuwa matamu vyakutosha kama tusingetarajia TUYATUMAINIYO ya baadaye ya hata KESHO yatakuwa BOMBA zaidi?
SI LEO haijirudii MAISHANI na labda leo ndio LEO?
Ndio,...
..... labda MATUMAINI ndiyo YASABABISHAYO mpaka walioelimika vyakutosha DARASA LA SABA WASIRIDHIKE na kuendelea mpaka na vyuo ambavyo WATAJIFUNZA wasiyoyahitaji MAISHANI kwa matumaini tu kuwa WAJUAVYO hayatoshi na siri ya FURAHA ni kuendelea na SHULE ya hata yasiyowafunza kitu MAISHANI!
Swali:
SI nasikia ni mengi tu yafunzwayo MADARASANI huwa hayamsaidii MTU na ni matumani tu yafanyayo watu kibao KUKOKOTOA sana tu MAKALUKULASI wakati hawatayatumia hata siku moja MAISHAI?
MATUMAINIIII!
Ndio,...
.... MATUMAINI ni KIBOKO,....
.... na yanamsaada mpaka wa kufanya baadhi wasiwe MALAYA wala MAJAMBAZI ili kukwepa tu dhambi kwa kutumainia ya MBINGUNI.
Ni wazo tu hili MUUNGWANA!
Hebu Jaguar aanzishe upya kwa - Kigeugeu
Sijui kwanini lakini turudi HAWAII ,...
.....ili J Boog airudishe palepale kwa - Lets Do It Again
J Boog aungwe mkono na Richie Spice warudie-Got To Be Strong
Halafu tu tena KIDUM na Lady Jay Dee wazime kwa -Nitafanya
Leo katika kipindi cha Breakfast kinachorushwa na Redio ya Clouds FM Afisa uhusiano wa TANESCO ameishutumu kampuni ya PAN AFRICA Enegy ndio inayosababisha matatizo haya ya Ugawaji wa umeme uwe haufuati Ratiba.
Hayo aliyasema baada ya kuona shutuma nyingi zinatumwa kwa TANESCO badala ya kampuni hiyo inayo iuzia Gesi Tanesco kwa ajili ya kuzalishia umeme. Ameyasema haya ili kampuni ya PAN AFRICA nayo iwaeleze wananchi ni kwa nini umeme mgao wake haueleweki.
Tanzania kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano imekuwa na matatizo ya umeme yasiyo isha.
KAPINGAZBlog inampongeza kwa kuonyesha ujasiri, kuamua kutueleza wananchi nani anayetusababisha kupata umeme kwa mgao usioeleweka, pia tunapenda kuwashauri wajitahidi kutafuta vyanzo vingine vya kupata nishati hii muhimu kwa maendeleo ya Taifa.
... hata ya kufikiria kile kiaminikacho ndio KIHITAJIKACHO!:-(
Swali:
SI SHILINGI iliyopo labda inamchango mkubwa kuliko ITARAJIWAYO ambayo hatunauhakika itakujakuwepo?
Si kidude cha ZUBEDA labda kinatosha hata kama aliye na ZUBEDA anaamini ahitajicho ni kile cha KHADIJA?
Na vidhaniwavyo vingi si nasikia ni VYAKUFIKIRIKA kama kilichopo hata kama ni ugali tu kwa maharage hicho ndio bonge la NGUNA kwa rojo?
Ndio,...
..... kilichopo labda ni MUHIMU ZAIDI ya kile kidhaniwacho ndicho chahitajika,...
....... kwa kuwa nguvu ya MAHITAJI labda inamisingi yake ambayo ni muhimu zaidi hata kama ni kwasababu tu inawezesha mtu mpaka kufikiria MENGINE kistaili ya MAHITAJI!:-(
Ni wazo tu hili NGULI ,...
.... na wala USIKONDE!:-(
Hebu Kevin Hart ajaribu kubadili kwa kuongelea - Other peoples personal problems
Capleton aingilie kati na kurudisha bolingo katika - That Day Will Come
I-WAYNE ajaribu tena kukiri - Can't satisfy her
I Wayne aongezee dozi kwa kukiri pia - Need Her In My Arms
Halafu sijui kwanini ila hebu FALLY IPUPA aibadili tena kwa -CADENAS
Halafu LOKUA KANZA afunge tu ukurasa kwa - NAKAZONGA
.... ili siye wenye sura mbaya tujisikie vizuri kwa kutojiona!
Swali:
Si kujiangalia ndio saa nyingine hukumbusha mtu ujazo wa pua kama jipu?
Ila TATIZO tu ni kwamba,...
..... kuvunjika kwa KIOO kusababishako MTU asijione,...
.... bado hakubadili SURA ya MTU!:-(
Swali:
Si hata tufanyeje kukwepa kutambua tatizo lipo kwa kutoliangalia huwa hakuondoi tatizo?
Na si WASENGE wapo tu BONGO hata kama jamii inadai hawapo na matatizo yao yasitambulike ingawa yapo?
Ndio,..
..... moja ya dalili ya matakwa ya MWANAIDI kioo kivunjike ,...
.... labda ni yale ya kumlaumu MESENJA wakati afanyacho ni kuwakilisha tu meseji ambayo ipo tayari na wala yeye mesenja hahusiki katika mtengenezo wake!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu twende tena Zimbabwe ili Oliver Mtukudzi aanzishe kwa - Neria
Oliver Mtukudzi arudie- Ndakuvara
Oliver Mtukudzi aongezee dozi kwa - Tozeza baba
Aongezee zaidi tena-Todii
Au tu tena Ringo Madlingozi aingilie tena kati kwa -Into Yam
..... na KATIKA nanihii labda kweli ni UJEMADARI,...
.... kama KUINGIZWA mtu kichwakichwa kwenye giza asikokujua ni UJEMADARi ,... ..... kama tu katika UJEMADARI wa VITA ambayo nanihii itabidi ingie gizani kichwakichwa,...
.... bado ni UJEMADARI labda kwa kuwa MTU kiaina ni kichwa kwa kuingia waogopako WENGINE kwa kuwa hakijulikani kilichondani huko kwenye GIZA!:-(
Tahadhari:Inawezekana kile kidude kifananacho JINA ambacho hata mbwa na sungura wanacho -LABDA hakimaanishwi hivyo katika TARALILA HII iliyopinda kiwazo na KITARALILA HII !:-(
...labda kama hakuna afikiriaye labda hakutakuwa na JEMADARI asifiwaye kwa YALIYOWAZI njenje ,...
.........na tutabaki na wenye sifa zenye UJEMADARI kimboo wa kuingia kwenye matundu ya giza bila kutumia macho , pua au hata KUHOJI kiakili JAMBO kwa kuwa NI HISIA TU HILO na sio HALIHALISI kiukweli ndio MUONGOZO kuwa TAMU !:-(
Swali:
Na si SUKARI nasikia ni tamu KIHISIA hata kama imetiwa SUMU?
Si wewe KWA WENGINE labda ni jengo tu la mtalimbo KIKIFIKIRIWACHO TU KIHISIA kisa umevaa MIDABWADA wakati ukweli ni kuwa wewe ni NGULI utatuaye kwa UBONGO na sio MTALIMBO ?
Na kwa kuwa kuna wajisifiao MJENGO kihisia,...
.... labda MTU asivimbe KICHWA kwa kuwa ukweli wawezakuwa BADO ni kwamba KIHISIA TU kuna wasifiwao kama tu WALAANIWAO kwa ya kweli amabyo MTU akiyafikiria na KUNYAMBULISHA kwa kutumia AKILI na si HISIA TU kuna kitu kinaweza kumstua kuwa si kweli harufu ya WALI ni lazima iwe kuna WALI kwa kuwa INAJULIKANA kuna mpaka NYOKA wanukiao KIUBWABWAUBWABWA.:-(
Swali:
AU?
NA ndio ,... ...labda JEMADARI kikuma yupo pia kwa ya JEMADARI kimboo,.....
....kwa kuwa pamoja na kwamba mambo mengi sio UDHU na hayahitajiki kwenye JENGO na hayana uhusiano na UMALAIKA uingiliwao mtalimbo ingawa yapo ndani ya JENGO,...
.... kihuswishwi cha KITU BORA labda sio tu kiko kwa NJE KIONEKANAKO KIRAHISI kwa kuwa vingi bora viko NDANI na UJEMADARI kikuma ni ile ruksa ya kuruhusu visivyotathiminiwa viingie ndani KUCHOKONOA vyenye MALIGHAFI BORA kitu ambacho kikuma LABDA ni UJEMADARI!
Swali:
Si unajua kwa ndani hata ya jipu hakuishi usaha tu peke yake na na labda ni UJEMADARI kuruhusu SINDANO kimtumbuo?
Na kwani JENGO kanisani AU msikitini ni lazima WASWAHILINA au WALOKOLE wawe ndani ili kisala SALA itoke STIRIO?
Ndio MHESHIMIWA ufikiriaye mpaka neno MBOO au KUMA ni tusi,...,... .... labda MATUSI yako ndani ya ufikiriavyo KIHISIA TU ZAIDI kuliko halihalisi ya TUSI au utendavyo kuliko hata jengo ambalo ni NENO,...
... na KIHISIA kama kimaneno labda ya hata ´´KHADIDJA HAJAVAA CHUPI ´´haibadili ukweli kuwa kivitendo yaweza kuwa ni kweli ``KHADIDJA hajavaa CHUPI´´ na sio HISIA hiyo .:-(
Swali:
Si unajua tusi la ukweli laweza kuwa bado ni HISIA tu ZA MTU?
Ndio,...
....kwa UNDANI,...
...... labda BINADAMU hana undani sana na ndio NDANI kwenye GIZA hata kama sio ndani ya kidude cha MTU kunawezatisha WATU au ndio maana kirahisi ana MPAKA dini ambayo anaamini ni sahihi kiasi kwamba waaminivyo wengine sio SAHIHI ,..
... wakati anajua misingi ya IMANI ni imani na imani haina ushahidi kama tu wengine waaminivyo KIHISIA ZISIZO NA USHAHIDI ambazo kiana zajenga UJEMADARI wauaminio ambao kwa lugha ya kipicha unaweza kuuoanisha na vitendo vya sehemu za siri vya ujemadari wa kuingia au kuingiliwa kwa ukakamavu bila woga wala kutumia akili ingawa zaweza samehewa kwa kuwa SEHEMU ZA SIRI HIZO kimboo au kikuma hazina UBONGO.:-(
NIMEACHA wazo hili nyoko MHESHIMIWA!!:-(
Hebu IPHY OKOLI aabadili kwa kuanzisha mchezo upya kwa -Ifeome
Lil' Kim ajaribu kugusagusa eneo kwa - No Matter What They Say
Au tu hebu Missy Elliott amalizie tu,...
............kwa kusema ukweli kuwa - She's A Bitch