Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna kipindi KUPIGAMANDE ilikuwa NISHAI!

>> Friday, September 02, 2011

Ila siku hizi DUNIANI ,...

.... ukiangalia  hata kuanzia HITLER kule UJERUMANI  ili kumuondoa ilibidi MAREKANI , UINGEREZA, URUSI  na vinyangalakata vingine WAMPIGEMANDE la sivyo labda wasingemtoa!

Swali:
  • SI unakumbuka eeeh?


Ukienda IRAKI  , AFGHANISTAN mpaka kwa GADDAFI  huko LIBYA sasa hivi ,...
... utastukia MMOJA anapigwa na WENGI halafu WENGI  bila aibu wanajiona WABABE!

Swali:
  • SI unakumbuka enzi za ili mshindi asifiwe basi wapiganaji  wawili huachiwa wabwengane bila kuingiliwa ili tujue MBABE nani?
  • Unafikiri nikija na kundi langu kukubwenga wakati uko peke yako -SIKU  ukinikuta mwenyewe ntakutisha au utatishika tu kwa kuwa unajua ntaita kundi langu?
  • SI unajua kunawatishao tu kutokana na tegemezi la nani watawasaidia?
Ndio,...
....nasikia siku hizi ujanja ni KUPIGAMANDE ndio maana,...
....INASEMEKANA magharibi  NATO, IMF, WB, au hata MAHAKAMA YA KIMATAIFA irukayo MATAIFA MAKUBWA ile ya ZE HAGI   haiuawi ili tu  mkileta za kuleta wanakuja KUNDI kukugalagaza!:-(

Ndio,...
... ni wazo tu HILI  tena LABDA ni lililopinda hata KILUGHA  ,..
... ila bado ni WAZO tu pia aisee MHESHIMIWA!
KILA la kheri katika KUENDELEZA siku MKUU!

Hebu Anthony David aanzishe upya kwa-Smoke One



Anthony David aongezee dozi kwa-Words



Au ghafla Yerba Buena wahamishe mchezo mzima kwa - Rompe El Cuero




Yerba Buena waongezee dozi kwa- Follow Me




Kabla tu hawajamalizia tena kwa -GUAJIRA

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Maisara Wastara 7:03 pm  
This comment has been removed by the author.
Maisara Wastara 7:04 pm  
This comment has been removed by the author.
Maisara Wastara 7:07 pm  

Hayo mambo ni kinyume kweli. kuna wakati kbla ya ujio wa UKimwi, kupiga Demu Mande ilikuwa bonge la ujiko kwa wanaume.........lakini siku hizi, ni ushamba tu.

Ni hivi..............

Ni miezi kadhaa na masiku mengi tu sijaonekana katika tasnia hii ya blog. leo nimerejea tena. Nawaahidi mambo mazuri, karibuni kibaraza cha Tegelezeni. Tupo Pamoja.

Simon Kitururu 7:42 pm  

@Maisara Wastara: Karibu tena tuko PAMOJA!

Lakini nafikiri umestukia nilichokuwa naongelea chenye jina MANDE hakina lakini uhusiano na NGONO!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP