Makamuzi ya TMK London!
>> Monday, September 05, 2011
Salam,
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea matukio katika show ya TMK iliyofanyika london, Ilford ukumbi wa Empire Suite jumamosi tarehe 3 septemba 2011. Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na MISS JESTINA BLOG
![]() |
| Kutoka kushoto Muddy,dj ritchie, Kova Jnr na Dj rule |
| Wazee wa TMK wakiwa na promota wao kabla ya show 185 |
| Chege akifanya meditation kabla ya makamuzi |
![]() |
| Chege akipandisha mzuka |
| Dj ritchie kutoka bongo dj akifanya makamuzi |
![]() |
| Makamuzi ya nguvu kutoka tmk yakiendela |
| Miss jestina(katikati) akila pozi na wadau waliokuja kwenye show ya TMK |
![]() |
| Temba akifanya vitu vyake |
| TMK wakila pozi na fan wao baada ya makamuzi |







0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment