KHADIJA akilazimishwa, MME ni bonge la LIMZIGO tena lile zigo LINUKALO kikwapa KIMAVIMAVI!
>> Monday, September 05, 2011
Na usipolazimishwa,...
.... kiporo cha UGALI ni KEKI,...
.....hata katika KIFUNGUA KINYWA/ brekifasti ya UJI bila magimbi au ile ya kavukavu CHAI!
Swali:
- SI unakumbuka pia kitu chochote kiitwacho MAZOEZI ni aina tu ya ADHABU ukilazimishwa?
Ndio,...
..... usipolazimishwa ,...
.... hata MKEKA ni bonge la KITANDA ,...
.... hata katika kufanikisha maswala ya KULALA au tu hata kulaliana KIUTU UZIMA.:-(
Na ndio hili ,...
... WAZO tu MHESHIMIWA!
Jumatatu NJEMA mkuu ndicho nikutakiacho!:-(
Hebu Guerilla Black aanzishe upya akiwa na Mario Winans katika ndude- You re the one
Mario Winans aendelee kwa kudai-I don't wanna know
Q-Tip aingilie kati kwa - ManWomanBoogie
Q-TIP aje tena na Raphael Saadiq katika kipengele-Get Involved
Kabla tu Q-Tip hajamalizia na Janet Jackson kwa banangenge -Got 'til It's Gone
Nipo,...
....na kiana bado ni kivilevile.:-(
5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hicho kichwa cha habrai duh! kaazi kwelikweli...Jumatatu njema nawe pia? Picha hizo zinaonyesha ulikuwa na muda mzuri :-)
@Mtoto mzuri Yasinta: Samahani kwa kukutisha na kichwa cha habari.Jumatatu njema kwako pia Mpenzi kapulya!
Wala hujanitisha ...ila tu kunuka kikwapa kimavimavi..mmmhh...swali la kizushi bado upo Uholanzi?
@Yasinta: Hapana nimetoka huko na leo fulu kiscandinavia!
:-(
Post a Comment